Hivi huyo casto yupo wapi, maana kifo cha Steve 2k kiliskitisha saana, enzi hizo magazeti ya uwazi yaandika hii story ilikuwa hatari .Fid q
"natamani steve 2k angekuwepo
ye ndo mchizi wangu kama pingu na deso"
Kwa mujibu wa fid, steve 2k ndio aliyemtambulisha kwa castro ponela ambae ndio alifanya ngoma ya fid.com
Nadhani sote tunajua ponela huyo huyo ndiyo alimuua steve 2k.
DaaahAngekuwepo rafiki nisingewaza,
Rafiki kipenzi niliyempenda,
Hayupo tena duniani swahiba,
Niliyempenda mpk kumoyo swahiba
Jebby hatimaye naye kamfata swahiba ake
Steve 2K huyo, ebana ndio,afu anatoa jicho,kasahaulika Sasa hiviKuna mmoja alikuwa maarufu Sana na ule msemo ..'ebana ndio"..
Ajabu nimemsahau jina
Unaweza kutusimulia kwa undani tukio la kifo chake ? Since unamjua basi ikiwezekana tusimulie mwanzo mpaka mwisho hiyo siku kilitokea Nini,tunaishia kusikia tu alichomwa kisuSteve 2K katoka Tanga mara ya kwanza mimi ndiye nilimpeleka Studio Dar.
Nikawaunganisha kwenye promotion Radio One. Amina Chifupa akawazimia sana na mwenzake Eddie. Wakatoka.
Jamaa ni comedian muda wote ukiwa naye, unaweza kuwa serious yeye anakupa kituko unacheka mwenyewe.
Aliondoka mapema sana kwa kifo cha kinyama.
Mkuu,Unaweza kutusimulia kwa undani tukio la kifo chake ? Since unamjua basi ikiwezekana tusimulie mwanzo mpaka mwisho hiyo siku kilitokea Nini,tunaishia kusikia tu alichomwa kisu
Last time kuandikwa alikuwa Songea huko baada ya kuachiwa kwa msamaha wa RaisHivi huyo casto yupo wapi, maana kifo cha Steve 2k kiliskitisha saana, enzi hizo magazeti ya uwazi yaandika hii story ilikuwa hatari .
Alikuwa poa Sana sana mshikaji wa sinza mapambano Mwenyezi Mungu amrehemu na sisi tupo nyuma maana duniani tunapita tuu.Naona mmemsahau Pablo wa Daz Nundaz.
Manantaaa maninsi munkaKila nikiona X PLASTAZ naikumbuka Ngoma USHANTA .. dah...
R.i.p Faza Nelly
Ngoja niangalie kidogo USHANTA kabla ya kulala...
Castro ponela kaishatoka kitambo, alipo sijuiHivi huyo casto yupo wapi, maana kifo cha Steve 2k kiliskitisha saana, enzi hizo magazeti ya uwazi yaandika hii story ilikuwa hatari .
Kuna jamaa aliwahi kuimba na akina berry black na Shirko wimbo wa NAJUA jamaa alikua anajua sana hasa kwenye ile verse yake
Kwanza mpenzi wangu natafuta[emoji445]
Najua nini unataka[emoji445]
Kwanza mpenzi wangu natafuta[emoji445]
Najaribu kutafuta pesaa[emoji445]
………
RIP (NI)
Mpaka leo siamini kama amekufaCPwaa ...huwa siamini kama hayupo tena
Mzee wa wachumba thelathiniJohn mjema kama sikosei..
James danduMtoto wa dandu