Tuwaombee Malawi hali yao kiuchumi ni mbaya sana

Tofauti yao na sisi ni nini?

Moja ya indicator kubwa ya nchi zilizoendelea ni umaskini uliotopea pia

Yaani katika matajiri wakubwa na kuna maskini wakubwa pia

Tanzania bado sana kwa umaskini sababu hujatembea
Kuna sehemu bado mlo mmoja ni shida, maji shida,
Mavazi shida
Elimu shida tena kubwa sana
Afya ndiyo kipengele
Miundombinu ni ya tabu sana( kuna sehemu bado magari hayawezi kufika)

Sasa tuna tofauti gani na Malawi?
 
Kwa hiyo umeona wivu Malawi kutajwa kuwa ni maskini?
 

Haya yote yanatokana na kula tunda kimasihara, wanazaliwa watu kimasihara halafu wanaishi kimasihara huku wakifanya mambo ya masihara. Mpaka tuache kufanya mambo kimasihara ndiyo nchi itanyooka. Masihara mpaka kwenye mambo yasiyohitaji masihara matokeo yake ni kuishi kimasihara katika nchi ya masihara
 
Nadhani
 
Pole Mamii,,Wasalimie Wanangu,Nawapenda Sana😍
 
Nicheki pm nikuconnect na koy mzungu.

Kipaji cha kuchekesha unacho.
 
Malawi wana tofauti gani na Tanzania kiuchumi? Kwanza Malawi ndio inatakiwa iiombee Tanzania kwa sababu ya Chama chakavu kinavyoomba mpaka msaada kutoka Japan wa kujenga matundu ya vyoo huko mashuleni.
 
Mbeya?? Kutoka wapi kwenda wapi
 
Shida yako ulitaka kutujulisha wewe ni dereva wa malori
 
Zambia ipi hiyo mkuu? Na unailinganisha Zambia na nchi gani hadi useme hivyo?
Kwani unaijua zambia gani? Mi naijua zambia ambayo ina watu around 20m lakini inakosa umeme masaa 16 kila siku
Zambia amabyo watu wake wanaishi maisha ya kimaskini sana ambao wakija dar wanaona kama wamekuja ulaya
Nikiripoti kutoka hapa ibex hills lusaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…