Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hard work+BahatiMaombi hayana msaada , ila ukweli hard work inalipa ikambatanishwa na bahati
Kwa hiyo umeona wivu Malawi kutajwa kuwa ni maskini?Tofauti yao na sisi ni nini?
Moja ya indicator kubwa ya nchi zilizoendelea ni umaskini uliotopea pia
Yaani katika matajiri wakubwa na kuna maskini wakubwa pia
Tanzania bado sana kwa umaskini sababu hujatembea
Kuna sehemu bado mlo mmoja ni shida, maji shida,
Mavazi shida
Elimu shida tena kubwa sana
Afya ndiyo kipengele
Miundombinu ni ya tabu sana( kuna sehemu bado magari hayawezi kufika)
Sasa tuna tofauti gani na Malawi?
Mi nadhani ungeanza na nchi yako kwanza...
Jana nimetoka mizungukoni nimewachukulia wanangu baadhi ya vitu wanapenda kula....nikaachana na daladala nikaingia kwa bajaji...kumbe Kuna zogo kati ya bajaji na daladala...mi nimo ndani wanarushiana maneno,nikamwambia tuondoke,anaondosha bajaji huku anaendelea na kamdomo....wakaanza kimbizia bajaji,dereva bajaji nae akaanza kukimbiza bajaji kama vile anakimbia kwa miguu,yaan ile unakimbia huku na kule ili usikamatwe...Mara ghafla kaparamiana na pikipiki iliyobeba trey za mayai....kibajaji kinataka kulala mi nikaruka...vitu vyangu vilisambaratika ...badala ya kusaidia watu wakaanza kuokota na kubugia bagia,wakaanza kuramba ubuyu....mayai wakazoa mpaka Ute wenye mchanga...bas ikabidi tujiinue sisi wenyewe🙌😔
NadhaniHaya yote yanatokana na kula tunda kimasihara, wanazaliwa watu kimasihara halafu wanaishi kimasihara huku wakifanya mambo ya masihara. Mpaka tuache kufanya mambo kimasihara ndiyo nchi itanyooka. Masihara mpaka kwenye mambo yasiyohitaji masihara matokeo yake ni kuishi kimasihara katika nchi ya masihara
Pole Mamii,,Wasalimie Wanangu,Nawapenda Sana😍Mi nadhani ungeanza na nchi yako kwanza...
Jana nimetoka mizungukoni nimewachukulia wanangu baadhi ya vitu wanapenda kula....nikaachana na daladala nikaingia kwa bajaji...kumbe Kuna zogo kati ya bajaji na daladala...mi nimo ndani wanarushiana maneno,nikamwambia tuondoke,anaondosha bajaji huku anaendelea na kamdomo....wakaanza kimbizia bajaji,dereva bajaji nae akaanza kukimbiza bajaji kama vile anakimbia kwa miguu,yaan ile unakimbia huku na kule ili usikamatwe...Mara ghafla kaparamiana na pikipiki iliyobeba trey za mayai....kibajaji kinataka kulala mi nikaruka...vitu vyangu vilisambaratika ...badala ya kusaidia watu wakaanza kuokota na kubugia bagia,wakaanza kuramba ubuyu....mayai wakazoa mpaka Ute wenye mchanga...bas ikabidi tujiinue sisi wenyewe🙌😔
Huwezi kuuongea na mimi kama una akili ndogo namna hii.Kwa hiyo umeona wivu Malawi kutajwa kuwa ni maskini?
Nicheki pm nikuconnect na koy mzungu.Mi nadhani ungeanza na nchi yako kwanza...
Jana nimetoka mizungukoni nimewachukulia wanangu baadhi ya vitu wanapenda kula....nikaachana na daladala nikaingia kwa bajaji...kumbe Kuna zogo kati ya bajaji na daladala...mi nimo ndani wanarushiana maneno,nikamwambia tuondoke,anaondosha bajaji huku anaendelea na kamdomo....wakaanza kimbizia bajaji,dereva bajaji nae akaanza kukimbiza bajaji kama vile anakimbia kwa miguu,yaan ile unakimbia huku na kule ili usikamatwe...Mara ghafla kaparamiana na pikipiki iliyobeba trey za mayai....kibajaji kinataka kulala mi nikaruka...vitu vyangu vilisambaratika ...badala ya kusaidia watu wakaanza kuokota na kubugia bagia,wakaanza kuramba ubuyu....mayai wakazoa mpaka Ute wenye mchanga...bas ikabidi tujiinue sisi wenyewe🙌😔
Isome hii kwa haraka kwa sautiKipi kikuchekeshacho
🤣🤣🤣Kuwa serious bhana, naumwa mwenzioNicheki pm nikuconnect na koy mzungu.
Kipaji cha kuchekesha unacho.
Burundi kuna hadi kodi ya kuendesha baskeli.Siku nilipoona Tanzania ipo katika nchi kumi zenye uchumi mkubwa Afrika. Nikajua kuna sehemu zina umaskini wa kutisha
Malawi wana tofauti gani na Tanzania kiuchumi? Kwanza Malawi ndio inatakiwa iiombee Tanzania kwa sababu ya Chama chakavu kinavyoomba mpaka msaada kutoka Japan wa kujenga matundu ya vyoo huko mashuleni.Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa
Niko BenakoTanzania ni nchi maskini,why kagera unaishi huko?
Mbeya?? Kutoka wapi kwenda wapiMi nadhani ungeanza na nchi yako kwanza...
Jana nimetoka mizungukoni nimewachukulia wanangu baadhi ya vitu wanapenda kula....nikaachana na daladala nikaingia kwa bajaji...kumbe Kuna zogo kati ya bajaji na daladala...mi nimo ndani wanarushiana maneno,nikamwambia tuondoke,anaondosha bajaji huku anaendelea na kamdomo....wakaanza kimbizia bajaji,dereva bajaji nae akaanza kukimbiza bajaji kama vile anakimbia kwa miguu,yaan ile unakimbia huku na kule ili usikamatwe...Mara ghafla kaparamiana na pikipiki iliyobeba trey za mayai....kibajaji kinataka kulala mi nikaruka...vitu vyangu vilisambaratika ...badala ya kusaidia watu wakaanza kuokota na kubugia bagia,wakaanza kuramba ubuyu....mayai wakazoa mpaka Ute wenye mchanga...bas ikabidi tujiinue sisi wenyewe🙌😔
Zambia ipi hiyo mkuu? Na unailinganisha Zambia na nchi gani hadi useme hivyo?Aise malawi na zambia wapo motoni maisha ya hovyo kabisa
Shida yako ulitaka kutujulisha wewe ni dereva wa maloriHuu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa
Aaah,huko ndo maskini walikozaliwa,na wengine wanakimbia huko wanaenda mijini.Niko Benako
Wewe uko kipande ganiAaah,huko ndo maskini walikozaliwa,na wengine wanakimbia huko wanaenda mijini.
Kwani unaijua zambia gani? Mi naijua zambia ambayo ina watu around 20m lakini inakosa umeme masaa 16 kila sikuZambia ipi hiyo mkuu? Na unailinganisha Zambia na nchi gani hadi useme hivyo?