UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
I see alot of spinning, kwamba, ingekuwa ni yeye, angelazimisha mradi huu. Hivi ni kweli alishawahi kulazimisha miradi yeyote ile? I know the guy was tough, but not to the extent of lettin his fellow Tanzanians reduced to a bunch of "Bumbuazis" kwa mradi huu wa Bandari. Tunafadhaishwa sana. Poleni sote.Hili limkataba kwa JPM lingekataliwa ofisini hata kabla halijafika kwa raia. 🤣
Siyo kweli, Khrushchev alitokea UkraineHata wakati wa ussr, hakujawahi kua na kiongozi nje ya urusi ya sasa, hakuna. Hawakua wajinga.
Nguvu hii unayoiona ndio nguvu hiyo hiyo ya kupinga Ufisadi 2013,14,15. Wananchi walionyeshwa yanayowezekana, baada ya 2015, wananchi walipata Jasiri wa kuwaondoa wanyonyaji wa Nchi na sio Dikteta kama unavyotaka kulazimisha. Come 2020 ni hivyo hivyo.Nguvu hii kwa nini haikutumika wakati dikteta la Chato lilipochafua uchaguI
Unawashutumu watu na Una udanganya umma na unadanganya mno mpaka unakinai kusomwa. Huku huko baada ya kuwashutumu (you are literaly begging) uungwe mkono na mambo ya Katiba.Uuzwaji wa bandari kama mnavyodai, ni zao la ufisadi mkubwa alioufanya Dikteta lile. Waliopitisha jambo hili wote waliwekwa na shetani lile.
That's why tunasema kelele kubwa ilifaa ifanyike wakati shenzi lile linanajisi sanduku la kura.
Na ht sasa binafsi msimamo wangu ni kuona wapiga kelele hawa wangejikita kwenye katiba mpya kwa nguvu kama hii kuliko kuhangaika na bandari ambayo hakuna wanachoweza kubadili
Huko kudhani kwamba kila anayemkosoa na asiyemkubali rais Samia ni mgalatia ndio kunaziti kunifanya nitake kujua waislamu wanafaidika vp na urais wa Samia, maana inaonyesha kuna manufaa kwenye kwa waislamu hapa Tanzania kutoka kwenye urais wa Samia ndio maana inaonekana anayempinga rais Samia si muislamu.
Imesimama njoo ukalieNdio haikuletwa naye , sasa ni vigumu kutoa maoni , lakini alipoleta udikteta hakupingwa ?
Kwahiyo mkuu Samia yupo perfect hana makosa kwenye uongozi wake na ni waislamu tu ndio wanaona hivyo isipokuwa wakristo?
Kwani kwa Magufuli wangethubutu?Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Kwani angekuwepo Nyerere angekubali national milling iuzwe? Kila zama na kitabu chakeSitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Waislam ushirikiana katika jambo lolote lile LIWE JEMA AMA OVU as long as limefanywa na muislam ni sahihi , na utakae pinga utaitwa mwenye chuki na Uislamu.Huko kudhani kwamba kila anayemkosoa na asiyemkubali rais Samia ni mgalatia ndio kunaziti kunifanya nitake kujua waislamu wanafaidika vp na urais wa Samia, maana inaonyesha kuna manufaa kwenye kwa waislamu hapa Tanzania kutoka kwenye urais wa Samia ndio maana inaonekana anayempinga rais Samia si muislamu.
Kumbe?Waislam ushirikiana katika jambo lolote lile LIWE JEMA AMA OVU as long as limefanywa na muislam ni sahihi , na utakae pinga utaitwa mwenye chuki na Uislamu.
Pamoja na ukatili woke lakini asingewaza hata kuikodisha ndo maana akanunua mitambo kwa kukopa WBSitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Dp world walikuja 2013 wakafukuzwa mikataba yao haikuwa sawa sasa watafute wahusika 2013 wakuelezeSitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Tena huyo ndio angepigiwa kelele kuanzia upinzani hadi mataifa ya nje hasa ulaya na amerika..kumbuka bwawa la umeme, ulaya ilicharukaNi wanamuonea tuu Mama!. Niliwauliza humu DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
Humo nilisema
hakuna mwenye jibu!.
P
Ni wanamuonea tuu Mama!. Niliwauliza humu DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
Humo nilisema
hakuna mwenye jibu!.
P
Unataka kusema nn? Kwamba Jiwe hajawahi pingwa?Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.