Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Kwa hiyo sasa mmetangaza rasmi kwamba CCM ni chama cha manufaa kwa dini ya kiislamu; hususani BAKWATA?
Sasa mnataka dunia nzima ijue pasipo na shaka kwamba maslahi ya dini hiyo yapo ndani ya CCM?

Sasa usitake kujitoa akili kichwani bila ya sababu zozote. Umeangalia migogoro mingapi duniani imetokana na na imani hiyo ya Kiislamu kabla ya kuziona hizo za Rwanda, Burundi na DRC?

Sasa mmeamua waziwazi kabisa kufanya siasa hizi hapa ziwe za kidini; mnajuwa tutafika wapi?
Fahamu tu kwamba watu hawataacha kupigania mageuzi ya nchi yetu kwa kuogopa udini mnao upenyeza ndani ya siasa hizi.
Inakuwaje nyinyi msione kasoro yoyote katika mfumo mzima wa uchaguzi hapa nchini, kwa sababu tu mnanufaika na uchafu wa chama hicho?
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Kanisa la Roman Catholic sio kama mwamposa na waumini wake vilaza wale.
 
kanisa katoliki limepoa tu lina dominate ukristo kwa takriban miaka 2,000 sasa ukishaanza kua against kanisa katoliki ujue ndo mwisho wako ccm imeanza kufikia mwisho wake
JK 2010 alikataliwa na Kanisa akawa against nalo. Kanisa likamuweka Padri
kanisa katoliki limepoa tu lina dominate ukristo kwa takriban miaka 2,000 sasa ukishaanza kua against kanisa katoliki ujue ndo mwisho wako ccm imeanza kufikia mwisho wake
Jk 2010 alikuwa against Kanisa. Kanisa likamweka Padri Mzinifu Slaa likamfanyia promo nchi nzima JK akageukwa mpk na wanaCCM wakatoliki akaona isiwe taabu. Akamwingiza mwanae na mkewe kupambana na Kanisa na alishinda.
Kanisa lilikuwa enzi za kadinari Pengo tu kwa ss limebaki kuwa a toothless Bulldog
 
Wengi wao ni watoto humu hawajui kinachoendelea!
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    265.3 KB · Views: 12
 

Attachments

  • Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    265.3 KB · Views: 11
Acha kutisha watu, ni ukabila tu ndio uliohusika na mauaji hayo. Unakuta viongozi na wa kabila fulani hasimu ndio waliuana wenyewe kwa wenyewe. Tofautisha reform na upuuzi wa kikabila huko rwanda
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Hawa mashekhe je wanachangia nini? Jibuni hoja acheni ulaghai
 

Attachments

  • Abel91167188_720p_20250421_124121.mp4
    2.8 MB
Acha kutisha watu, ni ukabila tu ndio uliohusika na mauaji hayo. Unakuta viongozi na wa kabila fulani hasimu ndio waliuana wenyewe kwa wenyewe. Tofautisha reform na upuuzi wa kikabila huko rwanda
Walikuwa wakibagua waumini na kuwauwa si watu hawa nina mashaka na uraia wao...
 

Attachments

  • Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    265.3 KB · Views: 13
Kipara kipya elewa kuwa kanisa halitakaa kimya lionapo haki za raia zinasiginwa. Chaguzi zimekuwa za hovyo sana miaka hii, nani atavumilia ukora huu? Acha kanisa likemee ukora huo
 
Mbona sasa umerukwa na akili kiasi hiki, ni nini hasa kimekusibu hivi karibuni? Sikuwahi kukusoma ukiwa kama baadhi ya wachangiaji humu kama akina 'THE BIG SHOW'!
Haya unayo pigania humu yatakusaidia vipi mbali ya kukupotezea tu heshima yako?
 
Hahaha tupe tathmini ya vifo vinavyosababishwa na magaidi ya kiislamu duniani.
 
Kwani walichokisema ni uongo? Zama za janjajanja zinaelekea ukingoni. HAKI
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Wakisema mnaupiga Mwingi au wakawafanyia maombi sio wachochezi.

Ila wakiwakosoa ni wachochezi.
 
sasa tamko la kanisa mbona linawagusa sana kama ni toothless Bulldog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…