DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hayo mambo hutokea Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣akili za wazinziUnataka umnunulie mchepuko kiwanja wakati usafiri wako daladala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pilau tamu sana hasa aione mama mkwe anajua kweli binti yangu ananyanduliwa ipasavyo na huyu jemedari wa nyikani.
Sio kwa mikito ile mpaka mama mkwe anaanza kupata hamasa zaidi.
Cc Lamomy Extrovert dronedrake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona vichekesho hiviKuna dogo alikuwa mgeni alituma mzigo kweny group la ofisi, akachachawa badala afute eti kaleft[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna apps zina zinaficha picha za mambo yetu yale.Bora ufiche hizo picha huko.Kuna siku mm mtoto wangu kadogo kaomba aangalie katuni nilikuawaga nimeungwa kundi la wahuni furani kumbe wametuma video chafu.Ghafla nasikia milio ya ajabu namuona na mtoto anakuja mbio baba hawa wako uchi ......
Mkuu hii chai 😁Mm nilimtumia pilau mama mkwe inbox, akajibu mwanangu kumbe ww mpishi mkali hvy inaonyesha binti yangu huko anafaidi nikamjibu ndio mama hata wewe ukija utapakuliwa tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sad story: Tuko kwenye group ya familia, familia 5 tofauti tofauti, Wababa, wamama na watoto.
Mama mmoja wa familia moja akatuma kwenye group clip ya ngono, mbaya zaidi ni anal. Sijui alikuwa anamtumia nani masikini.
Group lilipoa siku 5 mfululizo hakuna aliyecomment chochote, yule mama sijui nani alimshtua akafuta baadae.
Mpaka leo hii binafsi sina uhakika aliyefungua ile video, na ambae hakufungua, Sina uhakika kama mama yangu na kaka yangu mkubwa walifungua, (maana hawa ndio niliowawaza sababu ndio wanaonihusu)
Mama yangu ni kama hajui kilichotokea, sina hakika na kaka yangu na siwezi anzisha huo mjadala na yeye…. Nilipita kwenye hiyo stress as if mimi ndiye niliyetuma, sijajua aliyetuma alijisikiaje na familia yake. Nisiwe mnafiki binafsi niliifungua ile clip maana sina auto download , deliberately niliidownload nikaangalia nikafuta .
Swali langu kichwani hadi leo, nani alidownload nani hakudownload [emoji23]
Pole sanaNi 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status.
Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimistouch nikachagua video ya x (nilikuwq nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hio, yani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki !! kichwa hakikutulia yani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, hapan nikaona niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi yani nikawahi kuwasha data niifute lakini ghafla simu ikazima !!
Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa watu tunaoheshimiana wakiiona, hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme,
nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, sehemu ya boda boda ipo moja tu nae kanaiambia kuna mteja anamsubiri kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.
yani nikiwa naelekea huko tena nakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala sikuafiki niliitoa kama ilivyo.
nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.
yani nikaingia whatsapp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.😂😂
boda nae akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba......
Pilau chakula mkuu 😂Mkuu hii chai 😁
Nawaona Malegend.Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status.
Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimistouch nikachagua video ya x (nilikuwq nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hio, yani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki !! kichwa hakikutulia yani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, hapan nikaona niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi yani nikawahi kuwasha data niifute lakini ghafla simu ikazima !!
Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa watu tunaoheshimiana wakiiona, hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme,
nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, sehemu ya boda boda ipo moja tu nae kanaiambia kuna mteja anamsubiri kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.
yani nikiwa naelekea huko tena nakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala sikuafiki niliitoa kama ilivyo.
nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.
yani nikaingia whatsapp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.😂😂
boda nae akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba......
Me nature ya kazi yangu sometimes kama kuna kimeo tunakua job usiku kucha then narud asubuh. Sasa sababu sometimes tunakua job night basi nkawa natumia hiyo km advantage.Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikua zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokua ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lkn hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif. Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, Niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko mu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike.
Surprise inamsubiri.
Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko krwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
Mshua alikausha au alikuulizaNilipost pilau facebook halafu simu ikazima i had no way.
Kuwasha nakuja kukuta viewers 248 na mshua nae kaview.
Sijatumia tena facebook mpaka kesho😄
Mshua baharia alikaushaMshua alikausha au alikuuliza