Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikua zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokua ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lkn hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif. Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, Niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko mu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike.
Surprise inamsubiri.
Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko krwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
FB_IMG_1710762420138.jpg
 
Matukio ya simu kwangu ni mengi sana ila nitaelezea kwa uchache,
1.Nilimtumia wife sms nakupenda bby tukiwa tumekaa nae pamoja, hapo nilikosea kureply kwa mchepuko, kishikaji baada ya kugundua hilo nikaenddleza sms nyingi kumchanganya, nikamwambia nimekuangalia nimegundua sikukosea kuchagua, nikaongeza nyingine hakika nakupenda sana mke wangu .... MAGE, etc zikawa nyingi hadi hakujua na hapo tunaenda chumbani kumalizana maana nilimlowanisha gafla😄😄😄

Nilishawahi, kumtumia mama sms Bby nimemis kukuto....mB, hapa napo nilichanganya mafaile ndio siku nilihis kichwa kinayumba mwili mzima uliloa kijasho chembamba mkono nilikuwa nikishika simu inatereza, Ishanlah mungu mwema mama hakaagi na simu bahati nzuri simu ya maza alikuwa nayo dogo anacheza game, dogo alivyoiona ile sms alichanganyikiwa maana alifikiria vitu tofauti naona dogo uvumilivu ulimshinda akaanza kunipgia nami kwa aibu nikawa sipokei ili baadae nimtafte nimwambie sim nilimwachia jamaa, Bahati nzuri Dogo akajibu sms "vipi bro umechanganyikiwa au?" Hapo ndio nikashusha pumzi nikapga sim kapokea dogo nikaongea nae akasema ameisoma yey simu ya mother alikuwa nayo yeye, nikamwambia nimechanganya na hapo ndipo akili ikakaa sawa,

3, Nilishawahi kumjibu mjomba sms "qumamaqe mseng...unafil...rwa, hapa nilikuwa nachati na mshikaji wangu katika utan utani, nakumbuka miaka hiyo mjomba alikuwa yupo Sudani alikuwaga mjeda, kumbe alikuwa na shida na mke wake akimpigia hapatikani alivyoniona nipo online whatsup akaona anitext, kumbe sms yake ya whatsup ime display juu ya screen nami nachat normal text na mwanangu ilenajua nareply kwa mwana kumbe nareply kwa mjomba bila kujijua, kibaya zaidi sikuzingatia, Baadae sasa naingia online kumbe mzee alimind nae kanitukana matusi kama yote, tena mazito zaidi ya lile nililotukana hapo ndio nikamjibu tukayamaliza,

Mwisho kabisa u
Huwa napenda kuconnect bloothot kwa sim nikiwa hom naskiliza mziki sasa siku hiyo niliconect kisha nikaweka sim mfukoni, nikaendelea na shughuli zangu, sasa imefika mida katika harakati kuna dem flan kanitumia porn flani ilikuwa ni mazoea ya kufanya hivyo, nikaona niiplay, Basi nikapunguza sauti kiasi kisha nikaplay sasa nashangaa kuona sauti haitoki kila nikijaribu kuongeza sauti bado haisikiki, Basi nikana isiwe taabu nikaendelea kuangalia ile nashtuka naskilizia ile milio ya fakifaki faki faki, ooooh my God faki mee bebiii, nikazima gafla ile nafika sebureni nakuta watu wote wanashangaana maana hata wao kama ile milio iliwachanganya. Uzuri alikuwepo dogo na bek 3 tu na watoto, ila nahisi zile sauti zilipenya hadi nje kwa majirani,

Nyongeza, Siku moja dem flan nilikuwa silikubali ila likawa linaniletea shobo ila sina hisia nalo kabisa sasa siku moja likaja geto likakaa kitandani kwangu sasa kila nikijaribu kutest kitambo naona data hazisomi, nikaona usinitanie nikachukua Earphone nikaweka sikioni nikaona nichek blackboot moja ili inipe vibe, kumbe nikikuwa sijachomeka vzuri earphone sauti inasikika kote nje na ndani ya earphone, sasa mimi nimejikausha nacheki, mara naskia dem linanipiga begani we terminator wew,, afu hayo mavitu unayoangalia sio vizuri, ile kutoa earphone kumbe kitu kipo live bila chenga, nilijiona bonge la rofa.😃😃😃
Chai
 
😂😂

😂😂 Umetisha Sana mkuu
 
Hahaaaa kuna mmoja kwenye group letu la viongozi Mkoa wa Iringa akatuma video akimla mkewe. Jamaa ni DED mmoja Iringa, alikuwa anambembeleza mkewe baada ya kuwa wamekosana.

Jamaa akatuma video kwenye group lenye RC, RAS, MADC, MADAS na MaDED. Siku ilikuwa mbaya sana kwake. Ikabidi tuifute na tunyamaze tusijadili.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]duhhh
 
Kuna apps zina zinaficha picha za mambo yetu yale.Bora ufiche hizo picha huko.Kuna siku mm mtoto wangu mdogo kaomba aangalie katuni nilikuawaga nimeungwa kundi la wahuni furani kumbe wametuma video chafu.Ghafla nasikia milio ya ajabu namuona na mtoto anakuja mbio baba hawa wako uchi ......
😂😂😂😂😂😂😂 Katuni iko uchi!!
 
Hahaaaa kuna mmoja kwenye group letu la viongozi Mkoa wa Iringa akatuma video akimla mkewe. Jamaa ni DED mmoja Iringa, alikuwa anambembeleza mkewe baada ya kuwa wamekosana.

Jamaa akatuma video kwenye group lenye RC, RAS, MADC, MADAS na MaDED. Siku ilikuwa mbaya sana kwake. Ikabidi tuifute na tunyamaze tusijadili.
Poleni sana Mheshimiwa RC
 
Mimi simu ilikuwa inazingua touch na nipo mkoa kikazi nasubiri nirudi Dar ndio nibadili,aisee sina hili wala lile simu ipo mfuko wa suruali,kwenye mida ya SAA sita mchana simu yangu Nokia ndogo simu inapigwa kucheki mshkaji wangu wa kitambo na tulikuwa hatujawasiliana almost miezi 6,napokea simu cha kwanza ananiambia wewe ..mse... ingia haraka WhatsApp status kafute kimeo chako akakata simu,naingia status nakuta pilau linapikwa limeivaa hatari nikafuta fasta na ile simu sikuitumia tena.
Hizi simu tuwe makini!! Kuna jamaa yangu alikuwa jirani, Nina uhakika yumo humu, alivunja ndoa yake kwa kutuma msg ya mchepuko kwa mkewe kuwa wakutane sehemu wa se.. Hadi asubuhi na mapicha ya huyo mwanamke yaliyopambwa kibao, wakati kamuaga mkewe kuwa hatarudi nyumbani ana safiri kikazi!!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Duh haya mambo kuna mshkaji nilikuwa nachart nae ila ilikuwa Ile ujana mwingi full lugha chafu na kila kitu siku hiyo nikachanganya mafile badala ya kutuma kwake nikamtumia braza mmoja nilikuwa naheshimiana nae kweli kweli maana majina yalikuwa yanafanana helufi za mwanzo ila baadae nilimuomba braza yule msamaha akanielewa ila alinisihi niache lugha chafu zina tabia ya kujisauhau
 
Back
Top Bottom