Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

 
Chai
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ Umetisha Sana mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]duhhh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Katuni iko uchi!!
 
Poleni sana Mheshimiwa RC
 
Hizi simu tuwe makini!! Kuna jamaa yangu alikuwa jirani, Nina uhakika yumo humu, alivunja ndoa yake kwa kutuma msg ya mchepuko kwa mkewe kuwa wakutane sehemu wa se.. Hadi asubuhi na mapicha ya huyo mwanamke yaliyopambwa kibao, wakati kamuaga mkewe kuwa hatarudi nyumbani ana safiri kikazi!!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Duh haya mambo kuna mshkaji nilikuwa nachart nae ila ilikuwa Ile ujana mwingi full lugha chafu na kila kitu siku hiyo nikachanganya mafile badala ya kutuma kwake nikamtumia braza mmoja nilikuwa naheshimiana nae kweli kweli maana majina yalikuwa yanafanana helufi za mwanzo ila baadae nilimuomba braza yule msamaha akanielewa ila alinisihi niache lugha chafu zina tabia ya kujisauhau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…