Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Sad story: Tuko kwenye group ya familia, familia 5 tofauti tofauti, Sio ukoo, Humo kuna Wababa, wamama na watoto.

Mama mmoja wa familia moja akatuma kwenye group clip ya ngono, mbaya zaidi ni anal. Sijui alikuwa anamtumia nani masikini.

Group lilipoa siku 5 mfululizo hakuna aliyecomment chochote, yule mama sijui nani alimshtua akafuta baadae.

Mpaka leo hii binafsi sina uhakika aliyefungua ile video, na ambae hakufungua, Sina uhakika kama mama yangu na kaka yangu mkubwa walifungua, (maana hawa ndio niliowawaza sababu ndio wanaonihusu)

Mama yangu ni kama hajui kilichotokea, sina hakika na kaka yangu na siwezi anzisha huo mjadala na yeye…. Nilipita kwenye hiyo stress as if mimi ndiye niliyetuma, sijajua aliyetuma alijisikiaje na familia yake. Nisiwe mnafiki binafsi niliifungua ile clip maana sina auto download , deliberately niliidownload nikaangalia nikafuta .

Swali langu kichwani hadi leo, nani alidownload nani hakudownload 😂
Dawa ni kuto tunza picha/video na SMS kwenye Simu futilia mbali huko.

Mimi Simu zangu watoto wangu nawapa kwenda kutoa pesa, hivyo Password wanazijua hivyo Situnzi kitu ambacho siku moja kitanivunjia heshima.
 
Bila shaka waliokutana na hii kadhia huwa wanapagawa sana na wengi huwa hawajui wafanye nini papo kwa hapo.

Kuna mdogo wangu yeye alikua na tabia ya kutumiana nyuchi na mpenziwe. Siku kalala mpenziwe akampigia simu kua kammisi, ooh basi nione hata dushe.

Jamaa na mausingizi yake akachukua simu akajirekodi anapiga puchu hata hakumaliza akaipost akajifunika zake gubigubi.

Ebanaa eeh kumbe kapost status na sio kumtumia dem.
Asubuhi simu kibao watu wanamuuliza dogo umekuwaje?? Namna gani kijana?? Vipi umekua mcheza porn?? Dar imekuharibu sana mwaisa!!

Dogo akapagawa, bila kufikiri akaandika sms ndeefu ya kuomba msamaha na porojo kibao, akatutumia wote na sisi ambao hatukuona tukaanza upepelezi dogo anaomba msamaha wa nini.

Text aliyotuma ndo ilifanya watu wafatilie zaidi.
Dogo anakuja kunipa mkasa nikajua fika chalii alipagawa na kufanya maamuzi ya kipuuzi kabisa.
 
Mtu mzima kabisa una familia inayokutegemea acha kuhifadhi picha za ngono kwenye simu au PC utakuja aibika siku moja.
Huwa sielewi logic ya kuwa na picha za uchi sema tunatofautiana Ila binafsi stipend kuhifadhi vitu vingi kwenye iwe Siri au nn so nipo clean hata magroup sina labda Kama n muhimu nipo huru hata nisipo weka lock hakuna kitu Cha hovyo mtu ataona ,watu wanajisahau sana
 
Sad story: Tuko kwenye group ya familia, familia 5 tofauti tofauti, Sio ukoo, Humo kuna Wababa, wamama na watoto.

Mama mmoja wa familia moja akatuma kwenye group clip ya ngono, mbaya zaidi ni anal. Sijui alikuwa anamtumia nani masikini.

Group lilipoa siku 5 mfululizo hakuna aliyecomment chochote, yule mama sijui nani alimshtua akafuta baadae.

Mpaka leo hii binafsi sina uhakika aliyefungua ile video, na ambae hakufungua, Sina uhakika kama mama yangu na kaka yangu mkubwa walifungua, (maana hawa ndio niliowawaza sababu ndio wanaonihusu)

Mama yangu ni kama hajui kilichotokea, sina hakika na kaka yangu na siwezi anzisha huo mjadala na yeye…. Nilipita kwenye hiyo stress as if mimi ndiye niliyetuma, sijajua aliyetuma alijisikiaje na familia yake. Nisiwe mnafiki binafsi niliifungua ile clip maana sina auto download , deliberately niliidownload nikaangalia nikafuta .

Swali langu kichwani hadi leo, nani alidownload nani hakudownload 😂
Bora hata ingekuwa normal..anal??..kudadadeki.
 
Dawa ni kuto tunza picha/video na SMS kwenye Simu futilia mbali huko.

Mimi Simu zangu watoto wangu nawapa kwenda kutoa pesa, hivyo Password wanazijua hivyo Situnzi kitu ambacho siku moja kitanivunjia heshima.
Sahihi kabisa, simu ya mzazi inatakiwa kuwa safe space kiasi hata mtoto anaweza shinda nayo asione chochote cha ajabu.

Huu wa kutunza “maajabu” nao ni ulimbukeni wa aina yake, ndio maana kuna watu simu zao zikishikwa inaibuka vita.
 
'' Aisha Mimi napambana kukutumia hela na bado hunielewi,unataka nikutumie kiasi gani mpaka unielewe Kipenzi?Ona nimepambana mpaka hii laki tatu uliyotaka nimekutumia shida nini,ujue nakupenda sana na nahangaika sana kwa ajili yako?"

Ujumbe huo aliandika Mwamba katika familia yetu..na masaa machache baada ya kutumiwa hela ya matumizi ya chuo na ada kidogo.(900,000)

Sasa familia wamekaa jioni wanaangalia taarifa ya Habari,sms ikaingia toka kwa Mwamba.Ikijieleza hivyo kwa Aisha😀😀

Sebule ilikuwa ndogo ile siku,kuwa nyie Wapuuzi sisi tunahangaika kutafuta hela nyie mnahonga😀😀😀😀😀ona huyu Kaka yenu asivyo na akili.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwamba amepambana akapata hela! Uanaume kazi!
 
Mimi simu ilikuwa inazingua touch na nipo mkoa kikazi nasubiri nirudi Dar ndio nibadili, aisee sina hili wala lile simu ipo mfuko wa suruali, kwenye mida ya SAA sita mchana simu yangu Nokia ndogo simu inapigwa kucheki mshkaji wangu wa kitambo na tulikuwa hatujawasiliana almost miezi 6, napokea simu cha kwanza ananiambia wewe ..mse... ingia haraka WhatsApp status kafute kimeo chako akakata simu, naingia status nakuta pilau linapikwa limeivaa hatari nikafuta fasta na ile simu sikuitumia tena.
wewe shabiki wa uto umeniwua mbavu
 
Zamani wakati natongoza nilikuwa Natabia...kushare nyeti..yaani unachukua video fupifupi unampostia na yeye anajipiga picha na video fupi nakunitumia.

Sasa ninakawaida kuweka kwenye Google drive. Kauri miaka inavyokwenda nikifungua drive na kuona picha na video na wamama ambao zamani tulishare najishangaa nakujilaumu. Maana wengini wanasiasa na watu wenye heshima.

Simu moja nikapakua baadhi ya picha na video nikaweka kwenye simu na nikawa na miada kukutana na kiongozi huyu mdada mtu muhim sana. Baada ya kupata kinywaji tukalewa wote nikaanza kutimiza lengo langu na matakwa.

Nilitaka milio10 ama sivyo napost video zile... nilimwambia hapo nilizipakua zenyewe zipo sehem permanent..yule mama pombe zilimuishia.

Akapiga goti kuomba nisifanye hivyo...ishu bado inaendelea
Blackmailing inafanyika na wewe ukiwa umeficha identity yako, sasa wewe unamblack mail mtu live bila chenga. Inaweza kuja kukucost vibaya sana.

Uwe makini. Mimi ningekuwa huyo mama ningekwambia tu uziachie, baada ya kuziachia narelease press statement kuwa sio mimi nimeeditiwa, watu watasema wiki tu yanaisha , halafu mimi na wewe tutajua pakumalizina labda uhame nchi.
 
Siku nyingine usipaniki baada ya mambo kuharibika tafuta namba ngeni wajulishe watu wako wote mnaoheshimiana kuwa umeibiwa simu.

Baada ya siku tatu wajulishe tena unefanikiwa ku-renew number na pole kwa yeyote aliyetapeliwa.
Pole kwa yeyote aliyetapeliwa au siyo 😂 kama vile hujui kilichotokea 😂
 
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima.

Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x (nilikuwa nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hiyo, yaani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki, kichwa hakikutulia yaani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, nikabadili maamuzi niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi nikaondoa airplane mode niwashe data niwahi kuifuta video lakini ghafla simu ikazima.

Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa, bimkubwa anaeniona mimi mtoto pekee nilietulia atanichukuliaje? Wadogo zangu Je ? Majirani vp? Yani kiufupi watu tunaoheshimiana wakiiona nimekwisha... , Na hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme.

Nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, nikawahi sehemu ya boda boda nikaikuta moja tu nae kaniambia kuna mteja anamsubiri, kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.

Yaani boda nikawa namkaripia aongeze mwendo maana naona kama pikipiki haiendi,

Tukiwa njiani nikakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala siku fikiria mara mbili

Nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.

Yaani nikaingia WhatsApp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikuwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.😂😂

Boda naye akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba.
Nilimtumia mzee wa kanisa txt ya mapenzi badala ya pisi niliyokuwa naisarandia😂😂😂
 
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.

Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.

Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
Hilo ni suala dogo sana.
Ingekuwa mimi baada ya kugundua nimekosea kutuma.

Ningeandika txt nyingine kumwambia kuwa...unaona majitu yalivyo majinga, hiyo txt fulani tuko naye ofisini kanitumia kimakosa..yaani majitu majinga sana hayaheshimu wapenzi wao🤣
 
Back
Top Bottom