Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

Hii nchi ina majuha wengi sana
Hizo akili zenu za 'MASHOGA GANG' aah kumradhi ni 'MSOGA GANG' zinapaswa kuwa sharpened zikae sawa hamwezi kusapoti masuala ya kipuuzi kwenye nchi yetu. Komeni kabisa kuchezea ardhi hii.
 
Tatizo hayo ni matusi ya nguoni kwa wakina mama, sasa uwe unajaribu kupunguza jazba ukatetea hoja yako badala ya kuwa aibisha wale unaokuja kuwatetea.
Hiyo sio sanity unayodai imeletwa halafu unaichafua....Akiba yako ya maneno ndio ipi?
Twende kwenye hoja, hiyo ilikua ni harakati za kuratibisha umma
 
Unasahau kuwa hata Hawa alikuwa ni mwanamke (mama yetu sisi wote) lakini alimrubuni Adamu na kumuingia kwenye mkataba wa kumuangamiza milele Adamu na kizazi chake chote kiasi cha kupoteza umiliki wa bustani ya Eden.

Delila naye alikuwa ni mama, na bado aliingia kwenye mikataba ya kilaghai ili kumuangamiza Samsoni na taifa lake lote.

Katika hili la Bandari, Samia namuona na Delila tu, na wale waarabu wa DP world ni sawa na wafilisti.
 
U
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo😁😁
Tena nikisema mdogo nakuonea ni finyu,short rudi shule
 
Uhuru upi umetamalaki?

Maandamano ya kupongeza OK ila ya kupinga watu wanakamatwa.
Taifa haliwezi kuwa la maandamano, kila kitu maandamamo, tuchakate kwanza vitu kwa majadiliano tukishindwana ndiyo tuandamane
 
Ili jambo mmelielewa vibaya. Elimu inahitajika zaidi, ila taratibu litaeleweka
 
Pitia andiko la TLS halafu uje hapa kutunza hiyo akiba ya maneno
 
Hayo ni maoni yako mkuu, jikite kwenye hoja
Tatizo siwezi bishana na ww uwezo wako ni finyu ,unawaza Matusi na kimasihara,
Rudi shule kasome jinsi mikataba ilivyo
Au pata mfano wa Lucky emely kocha wa zamani wa yanga na yanga,Kesi ilivyo amuliwa, ww ni mchache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…