Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI?

Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga zimeingia kwenye makundi Mara ngapi?

DJ walete.
 
Ndio loser hilo hilo

Hao ni kama resetters waliofeli 4M4
Hio Kombe la losers wewe ulifanikiwa kufika nusu fainali pamoja na kuwasha moto kwenye viwanja vya watu? Si uliona shughuli pevu mpaka mkatafuta njia mbadala ili mtoboe.
 
Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI?

Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga zimeingia kwenye makundi Mara ngapi?

DJ walete.
Timu yoyote ni dhaifu au ni imara inategemea tu unailinganisha na timu gani..!!
Simba ukiilinganisha na Lipuli ya Iringa, Simba ni imara, lakini ukiilinganisha na MAN U Simba ni dhaifu wa kutupwa..!!
 
Hivi hii tabia ya kujifananisha na wakubwa itakoma lini?Ni muda sasa wa kutandika watu fimbo za shingoni hadi waimbe haleluya.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ingekuwa wanaoshiriki klabu bingwa wanauwezo mkubwa kuliko wanaoshiriki shirikisho basi Wydad ambao ndio bingwa wa klabu bingwa asingefungwa na Berkane ambaye ni bingwa wa kombe la shirikisho katika super cup
 
"Ingekuwa"!Nipo hapa Real Estate Mbarali napalilia majaruba ya "mchele"!Ihefu wanatoa salamu nyingi sana kwa "unbeaten"!😜😜😜😜
 
Nilikuwa loser mwenye nafuu na ndio maana niliweza kushiriki halafu wewe uliye loser zaidi hukushiriki
Sawa loser mwenye nafuu, malizia kwanza kufanya maombi ya Horoya kutomfunga Raja kisha ndio uangaike na ya hilo kombe unaloita la losers.
 
Ingekuwa wanaoshiriki klabu bingwa wanauwezo mkubwa kuliko wanaoshiriki shirikisho basi Wydad ambao ndio bingwa wa klabu bingwa asingefungwa na Berkane ambaye ni bingwa wa kombe la shirikisho katika super cup
Wydad amefungwa na Berkane kwenye kombe la loser?
 
"Ingekuwa"!Nipo hapa Real Estate Mbarali napalilia majaruba ya "mchele"!Ihefu wanatoa salamu nyingi sana kwa "unbeaten"![emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kabisa mkuu, Ihefu akaifanya Yanga isiongoze ligi. Msimu huu kombe ni la Ihefu ama Simba lazima mmoja wapo achukue.
 
Sawa looser mwenye nafuu, malizia kwanza kufanya maombi ya Horoya kutomfunga Raja kisha ndio uangaike na ya hilo kombe unaloita la loosers.
Sijasema looser, nimesema loser. Kuna utofauti hapo

Yani sisi hata tutolewe kwenye makundi bado hauwezi kutuweka daraja sawa na wewe hata uvuke makundi

Mechi za loser zinaamuliwa kwa bahati, wakati za mabingwa huku ni uwezo
 
Wydad amefungwa na Berkane kwenye kombe la loser?
Haujui kama hua kuna shindano la kumshindanisha bingwa wa kombe la losers vs bingwa wa kombe la ligi ya mabingwa kisha anapatikana bingwa wa wote. Inaitwa CAF SUPER CUP ambapo Berkane ambaye ndiye bingwa wa kombe la losers akamgalaza Wydad ambaye ni bingwa wa klabu bingwa kwa magoli mawili kwa yai
 
Back
Top Bottom