Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Sijasema looser, nimesema loser. Kuna utofauti hapo

Yani sisi hata tutolewe kwenye makundi bado hauwezi kutuweka daraja sawa na wewe hata uvuke makundi

Mechi za loser zinaamuliwa kwa bahati, wakati za mabingwa huku ni uwezo

Hakuna mashindano ya bahati katika mpira wa miguu. Onesha mechi zipi zilizoamuliwa kwa bahati. Halafu tambua katika mpira wa miguu mafanikio ni kubeba kombe, hivyo anayechukua kombe la shirikisho atakuwa kapata mafanikio makubwa kuliko aliyeishia robo fainali klabu bingwa .
 
hakuna mashindano ya bahati katika mpira wa miguu. Onesha mechi zipi zilizoamuliwa kwa bahati. Halafu tambua katika mpira wa miguu mafanikio ni kubeba kombe, hivyo anayechukua kombe la shirikisho atakuwa kapata mafanikio makubwa kuliko aliyeishia robo fainali klabu bingwa .
Ukieleza kuhusu mafanikio,kuna hatua.Aliyeishi miaka ishirini si sawa na aliyeishi miaka sitini.Kuna mmoja ana haki ya kujiita kala chumvi nyingi.
 
Haujui kama hua kuna shindano la kumshindanisha bingwa wa kombe la losers vs bingwa wa kombe la ligi ya mabingwa kisha anapatikana bingwa wa wote. Inaitwa CAF SUPER CUP ambapo Berkane ambaye ndiye bingwa wa kombe la losers akamgalaza Wydad ambaye ni bingwa wa klabu bingwa kwa magoli mawili kwa yai
Kwenye mpira bahati zipo.
 
Hapo no sawa na useme, haujui Yanga ambayo inacheza michuano ya loser ilikuja kumgalagaza Azam kwenye NBC

Hoja ya msingi ni je huo ushindi uliupata kwenye mashindano gani? Loser au mengineyo?
 
Hakuna mashindano ya bahati katika mpira wa miguu. Onesha mechi zipi zilizoamuliwa kwa bahati. Halafu tambua katika mpira wa miguu mafanikio ni kubeba kombe, hivyo anayechukua kombe la shirikisho atakuwa kapata mafanikio makubwa kuliko aliyeishia robo fainali klabu bingwa .
Sasa losers wawili wakikutana unafikiri unategemea kuona nini kama sio bahati?

Hapo ni mwenye nafuu Vs mwenye angalau
 
Hakuna ligi ya loser bali kuna kombe la shirikisho la CAF na ligi ya mabingwa Africa. Kuna timu zinaanzia kwanzia hatua ya awali katika shirikisho na hawajatokea kwenye ligi ya mabingwa.

Ligi ambayo hata Biashara utd ya musoma ina uwezo wa kufika hatua ya makundi kwa kuzifunga timu kazaa, huwezi kusema ni ligi ngumu.

Kombe la shirikisho hata biashara utd analimudu.

Hata namungo pia analimudu kufika hatua ya makundi
 
Back
Top Bottom