Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Napoteza muda wangu bure kwasababu unataka kubadilisha majadiliano kuwa ligi ya ubishani. Basi baki na msimamo kuwa Pyramid na timu zote zilizopo kwenye shirikisho hazitumii mbinu wala ufundi kushinda bali wana bahatisha tu kushinda. Maana unafananisha masomo na mpira wa miguu ambao kila kitu kibaonekana uwanjani.

Nimekuuliza mechi ya Super Cup kwasababu wewe hoja yako ni kwamba timu zote za shirikisho ni timu mbovu. Ndio maana nikakuuliza mbona timu iliyoshinda klabu bingwa imefungwa na bingwa wa shirikisho kwenye CAF super cup. Sipo kwaajili ya ligi mkuu kama akili yako inawaza hivyo basi mpira haujui au upo kishabiki. Kwaheri
Sio ubishani ni katika kuangalia mazingira yaliyopelekea mpaka wewe ukawa hapo ulipo.

Upo hapo baada ya kushindwa, na hiki ndicho alichokiongea msemaji wetu na kikaungwa mkono na nyinyi. So mi niko hapa kuwakumbusha

Hata mpira nao ni sanaa inayosomewa, watu wanaingia darasani wanasoma namna ya kucheza vizuri, so huwezi kuikataa hoja ya usomi kirahisi hivyo.

Hao Pyramids ni failures waliokosa hata vigezo vya kushiriki CL.

Hoja yako ya Super Cup nimeiona ipo irrelevant kwasababu haihusishi michuano ya loser
 
Hapa unaongelea timu hizo kwenye misimu miwili tofauti...walikuwa vizuri wakati au msimu uliopita na wakapata sifa za kuingia UEFA..msimu huu wakati sasa mashindano waliyoingia ndio yanaanza kwenye ligi yao wanaweza wasiwe vizuri.
Liverpool na Chelsea ni moja kati ya team mbovu zaidi pale uingereza kwa sasa. Lakini wapo UEFA wakati Arsenal na Man U hawamo!
 
Ndio loser hilo hilo

Hao ni kama resetters waliofeli 4M4
Mashabiki wa Simba mnahitaji ELIMU ELIMU ELIMU, kuhusu soka cha kushangaza hata mashabiki werevu wa Simba wenye weredi wao nao huwezi watofautisha na mashabiki wasio na elimu ya shule ya Msingi au sekondari kama sio chuo wote ni Mbumbumbu
 
Kwa utafiti wangu mashabiki wa Yanga wengi hawajui soka ukiringanisha na wasimba.
 
Timu yoyote ni dhaifu au ni imara inategemea tu unailinganisha na timu gani..!!
Simba ukiilinganisha na Lipuli ya Iringa, Simba ni imara, lakini ukiilinganisha na MAN U Simba ni dhaifu wa kutupwa..!!
Labda man city sio mandonga united
 
Hapa unaongelea timu hizo kwenye misimu miwili tofauti...walikuwa vizuri wakati au msimu uliopita na wakapata sifa za kuingia UEFA..msimu huu wakati sasa mashindano waliyoingia ndio yanaanza kwenye ligi yao wanaweza wasiwe vizuri.
Same applies to CAF. Hawa wabovu wa sasa, walikua vizuri msimu uliopita. Ndicho nilichokimaanisha!
 
Napoteza muda wangu bure kwasababu unataka kubadilisha majadiliano kuwa ligi ya ubishani. Basi baki na msimamo kuwa Pyramid na timu zote zilizopo kwenye shirikisho hazitumii mbinu wala ufundi kushinda bali wana bahatisha tu kushinda. Maana unafananisha masomo na mpira wa miguu ambao kila kitu kibaonekana uwanjani.

Nimekuuliza mechi ya Super Cup kwasababu wewe hoja yako ni kwamba timu zote za shirikisho ni timu mbovu. Ndio maana nikakuuliza mbona timu iliyoshinda klabu bingwa imefungwa na bingwa wa shirikisho kwenye CAF super cup. Sipo kwaajili ya ligi mkuu kama akili yako inawaza hivyo basi mpira haujui au upo kishabiki. Kwaheri
Huyo ni kichaa achana naye, thread hii ni kipimo tosha cha kuwajuwa mataahira wa JF.
 
Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI?

Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga zimeingia kwenye makundi Mara ngapi?

DJ walete.
Simba, Vipers
 
Ondoa hiyi PHD kwanza kwenye title yako mtu mwenye kiwango hicho cha elimu hawezi kuandika utopolo huu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Sasa game yenu na Mazembe ilikuwaje?

Standard za loser huzijui?

Shuleni ukipata alama chini ya 30 ilikuwa inahesabiwa F

Katika hao waliopata F wapo waliopata F yenye alama 19 na wapo waliopata 0 kabisa

Wewe una haki ya kumcheka mwenye alama 2 kwasababu wewe una 5 ila wote mpo daraja moja

Japo wote wapo kwenye daraja moja ila haimaanishi tukisema tufanye mchujo kati hao hatuwezi kumpata mwenye akili kuwazidi hao wengine

Kwa hiyo wewe na Tp Mazembe ni failures wawili waliopo daraja moja ila wenye alama tofauti
Tatizo anataka kulazimisha yeye anaakili sana kwa kupata F ya 34 kuliko wenzie wenye 0 wakati wote ni sawa na viazi tu.
 
Kwenye maswali yangu kuna sehemu nimekuuliza kuhusu mechi ya Simba au Al Ahly? Nimekuuliza Yanga kamfunga Tp Mazembe kwasababu ya bahati au uwezo? Na nimekuuliza kama timu zinazoshiriki shirikisho ni timu mbovu kwanini kwenye super cup bingwa kawa timu iliyoshiriki shirikisho? Au hujui kama kuna CAF super cup ambapo wanashindanisha mabingwa waliochukua kombe la CAF interclub katika msimu husika?
Hakuna timu inayocheza mpira katika ngazi za kimataifa ikakosa kuwa na mbinu na kuhusu ubora, ni kwamba ubora ni zao la vitu vingi ikiwemo mbinu + ufundi + wachezaji bora.na benchi bora.
Umeshaambiwa shirikisho huko ni mwendo bahati, vilaza wamekutana atakae mbaatisha mwenzie basi anakuwa mshindi kati ya wajinga, ukiona mjinga kamshinda mwenye akili basi ujue kadesa kwa mwenye akili ila haibidilishi yeye kuwa loser
 
Usihamishe mada, Mada yako ya juu kabisa umedai ya kwamba mechi za klabu bingwa timu zinashinda kwa uwezo ila katika shirikisho timu hazishindi kwa uwezo bali ni kwa bahati. Naomba tujadili hili la uwezo vs bahati. Ushindi wa uwezo unakuaje na wa bahati unakuaje? Tp Mazembe kafungwa na yanga kwa kuzidiwa au kwa bahati?
Halafu mbona swala la bingwa wa shirikisho kumfunga bingwa wa klabu bingwa katika CAF super cup mbona umeshindwa kujibu kwanini afungwe na timu iliyoshiriki shirikisho kama timu zinazoshiriki shirikisho ni mbovu kuliko za klabu bingwa?
Ni matumizi mabaya ya rasilimali kubishana na mtu wa kariba huu.

Achana naye!
 
Back
Top Bottom