Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Ligi ambayo hata Biashara utd ya musoma inafika hatua ya makundi na kuzifunga timu kazaa, huwezi kusema ni ligi ngumu.

Kombe la shirikisho hata biashara utd analimudu.

Hata namungo pia analimudu
Dah ndio uwezo wa kufikiri ukagotea hapo? Haya kama ligi ni nyepesi kwanini Simba hakuchukua kombe? Au hata walau kufika hata nusu fainali tu? Halafu sina kumbukumbu kama biashara aliwahi cheza makundi nachokumbuka ni kwamba walishindwa kwenda kucheza mechi ya marudiano. Nenda kajipange tena
 
Hapo no sawa na useme, haujui Yanga ambayo inacheza michuano ya loser ilikuja kumgalagaza Azam kwenye NBC

Hoja ya msingi ni je huo ushindi uliupata kwenye mashindano gani? Loser au mengineyo?
Hatupo kwenye mada ya mengineyo. Nimekwambia nitajie mechi za shirikisho ambazo ushindi ulipatikana kwa bahati. Halafu naomba nitofautishie aina ya ushindi wa bahati na ushindi wa uwezo je unatofautiana katika nyanja ipi? Usirukie kwenye mechi ya Azam wakati tunajadiliana kuhusu mashindano ya kombe CAF confederation cup
 
Sasa game yenu na Mazembe ilikuwaje?

Standard za loser huzijui?

Shuleni ukipata alama chini ya 30 ilikuwa inahesabiwa F

Katika hao waliopata F wapo waliopata F yenye alama 19 na wapo waliopata 0 kabisa

Wewe una haki ya kumcheka mwenye alama 2 kwasababu wewe una 5 ila wote mpo daraja moja

Japo wote wapo kwenye daraja moja ila haimaanishi tukisema tufanye mchujo kati hao hatuwezi kumpata mwenye akili kuwazidi hao wengine

Kwa hiyo wewe na Tp Mazembe ni failures wawili waliopo daraja moja ila wenye alama tofauti
 
Usihamishe mada, Mada yako ya juu kabisa umedai ya kwamba mechi za klabu bingwa timu zinashinda kwa uwezo ila katika shirikisho timu hazishindi kwa uwezo bali ni kwa bahati. Naomba tujadili hili la uwezo vs bahati. Ushindi wa uwezo unakuaje na wa bahati unakuaje? Tp Mazembe kafungwa na yanga kwa kuzidiwa au kwa bahati?
Halafu mbona swala la bingwa wa shirikisho kumfunga bingwa wa klabu bingwa katika CAF super cup mbona umeshindwa kujibu kwanini afungwe na timu iliyoshiriki shirikisho kama timu zinazoshiriki shirikisho ni mbovu kuliko za klabu bingwa?
 
Usihamishe mada, Mada yako ya juu kabisa umedai ya kwamba mechi za klabu bingwa timu zinashinda kwa uwezo ila katika shirikisho timu hazishindi kwa uwezo bali ni kwa bahati. Naomba tujadili hili la uwezo vs bahati. Ushindi wa uwezo unakuaje na wa bahati unakuaje? Tp Mazembe kafungwa na yanga kwa kuzidiwa au kwa bahati?
Halafu mbona swala la bingwa wa shirikisho kumfunga bingwa wa klabu bingwa katika CAF super cup mbona umeshindwa kujibu kwanini afungwe na timu iliyoshiriki shirikisho kama timu zinashiriki shirikisho ni mbovu kuliko za klabu bingwa?
Uwezo unahusisha mbinu na ubora

Simba inafungwa kwa kuzidiwa mbinu, Al Ahly anafungwa kwa kuzidiwa mbinu

Na ndio maana mechi yenu ilivyoisha kule Tunis na Monastir kila mtu akawa anasema t"umecheza vizuri ila bahati haikuwa kwetu"

Mechi zenu zinaamuliwa kwa bahati

Hakuna bingwa kwenye tournament losers
 
Ligi ambayo hata Biashara utd ya musoma ina uwezo wa kufika hatua ya makundi kwa kuzifunga timu kazaa, huwezi kusema ni ligi ngumu.

Kombe la shirikisho hata biashara utd analimudu.

Hata namungo pia analimudu kufika hatua ya makundi
Ongezea na Geita
 
Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI?

Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga zimeingia kwenye makundi Mara ngapi?

DJ walete.
Watanzania ni vichaa Dr matola, utaumiza kichwa.wa soka lakini si wote haswa wanaozipendaga simba na yanga.
 
Dah ndio uwezo wa kufikiri ukagotea hapo? Haya kama ligi ni nyepesi kwanini Simba hakuchukua kombe? Au hata walau kufika hata nusu fainali tu? Halafu sina kumbukumbu kama biashara aliwahi cheza makundi nachokumbuka ni kwamba walishindwa kwenda kucheza mechi ya marudiano. Nenda kajipange tena
Ukiielewa maana ya neno 'Mbumbumbu' basi linatosha kabisa kuwaelezea vyema kwa ufasaha.
 
Nilikuwa loser mwenye nafuu na ndio maana niliweza kushiriki halafu wewe uliye loser zaidi hukushiriki
Na hapa mlitumia uchawi mbele ya malooser
 
Attachments

  • 1677489875927.jpg
    1677489875927.jpg
    40.2 KB · Views: 1
Uwezo unahusisha mbinu na ubora

Simba inafungwa kwa kuzidiwa mbinu, Al Ahly anafungwa kwa kuzidiwa mbinu

Na ndio maana mechi yenu ilivyoisha kule Tunis na Monastir kila mtu akawa anasema t"umecheza vizuri ila bahati haikuwa kwetu"

Mechi zenu zinaamuliwa kwa bahati

Hakuna bingwa kwenye tournament losers

Kwenye maswali yangu kuna sehemu nimekuuliza kuhusu mechi ya Simba au Al Ahly? Nimekuuliza Yanga kamfunga Tp Mazembe kwasababu ya bahati au uwezo? Na nimekuuliza kama timu zinazoshiriki shirikisho ni timu mbovu kwanini kwenye super cup bingwa kawa timu iliyoshiriki shirikisho? Au hujui kama kuna CAF super cup ambapo wanashindanisha mabingwa waliochukua kombe la CAF interclub katika msimu husika?
Hakuna timu inayocheza mpira katika ngazi za kimataifa ikakosa kuwa na mbinu na kuhusu ubora, ni kwamba ubora ni zao la vitu vingi ikiwemo mbinu + ufundi + wachezaji bora.na benchi bora.
 
Hoja yako ngumu sana maana imejaa kuunga unga timu fulani kamfunga fulani.

Mfano Simba alimfunga bingwa wa super cup Berkane kwenye hatua ya makundi

Je simba ni bora kuliko waydad casablanca sababu waydad alifungwa na berkane ?

Mashindano ya champions league huwezi yafananisha na confederation cup.

Mechi za Super cup ni kama bonanza. Ndio maana hata ukiangalia ranking za ubora wa teams Bingwa wa champions league ndie anaekuwa namba moja kwenye ranking. Huwa hawamuweki bingwa wa super cup hata kama alitwaa kombe la shirikisho

Super cup ni bonanza sawa na mechi za ngao ya hisani
 
Mimi nimewatumia Al Ahly na Simba kama ufafanuzi utaoweza kukusaidia wewe kutofautisha kati ya level za mabingwa na losers

Tp Mazembe na Uto mbona nimekuambia mechi yenu iliamuliwa kwa bahati?

Super cup sio loser cup, mfano wako wenyewe ni irrelevant

Kusema ngazi za losers nako hutumika ufundi, na mbinu it's like useme kwenye level ya failures nao wakipewa mitihani hutumia muda mwingi kujisomea ili wafaulu

Ndio mfaulu, ila ufaulu ili upate nini?

Mtihani ambao umewekewa A thamani yake inaanzia alama 30, so we unajiona mwamba kwa kupata wastani wa B kwa alama 15 kumzidi mwenzako aliyepata wastani wa C kwa alama 5

Wakati hiyo A yako katika level za vipanga, hiyo ni like F
 
Liverpool na Chelsea ni moja kati ya team mbovu zaidi pale uingereza kwa sasa. Lakini wapo UEFA wakati Arsenal na Man U hawamo!
 
Hoja yako ngumu sana maana imejaa kuunga unga timu fulani kamfunga fulani.

Mfano Simba alimfunga bingwa wa super cup Berkane kwenye hatua ya makundi

Je simba ni bora kuliko waydad casablanca sababu waydad alifungwa na berkane ?

Mashindano ya champions league huwezi yafananisha na confederation cup.

Mechi za Super cup ni kama bonanza. Ndio maana hata ukiangalia ranking za ubora wa teams Bingwa wa champions league ndie anaekuwa namba moja kwenye ranking. Huwa hawamuweki bingwa wa super cup hata kama alitwaa kombe la shirikisho

Super cup ni bonanza sawa na mechi za ngao ya hisani

Ranking za timu haziangalii upande klabu bingwa pekee bali hata kombe la shirikisho pia japo tofauti ni point. Super cup sio bonanza ile ni sawa sawa na ngao ya hisani kwenye ligi kuu kama hujui ndio ujue. Hata UEFA ipo hiyo Super Cup. Sio bonanza ile

Tuje kwenye hoja yako ga Simba kumfunga Berkane ambaye ni bingwa wa confederation cup. Haya nipe sababu unayoona wewe kwako ni sahihi, ni kwanini Simba kamfunga Berkane je unahisi ni bahati kama alivyosema scars? Halafu hapo hapo rudi nyuma tena kisha niambie sababu ipi ambayo ilifanya Simba imfunge Al Ahly ambao pamoja na kufungwa na Simba wakaenda kubeba kombe la klabu bingwa.
 
Mimi nimewatumia Al Ahly na Simba kama ufafanuzi utaoweza kukusaidia wewe kutofautisha kati ya level za mabingwa na losers

Tp Mazembe na Uto mbona nimekuambia mechi yenu iliamuliwa kwa bahati?

Super cup sio loser cup, mfano wako wenyewe ni irrelevant

Kusema ngazi za losers nako hutumika ufundi, na mbinu it's like useme kwenye level ya failures nao wakipewa mitihani hutumia muda mwingi kujisomea ili wafaulu

Ndio mfaulu, ila ufaulu ili upate nini?

Mtihani ambao umewekewa A thamani yake inaanzia alama 30, so we unajiona mwamba kwa kupata wastani wa B kwa alama 15 kumzidi mwenzako aliyepata wastani wa C kwa alama 5

Wakati hiyo A yako katika level za vipanga, hiyo ni like F
Napoteza muda wangu bure kwasababu unataka kubadilisha majadiliano kuwa ligi ya ubishani. Basi baki na msimamo kuwa Pyramid na timu zote zilizopo kwenye shirikisho hazitumii mbinu wala ufundi kushinda bali wana bahatisha tu kushinda. Maana unafananisha masomo na mpira wa miguu ambao kila kitu kibaonekana uwanjani.

Nimekuuliza mechi ya Super Cup kwasababu wewe hoja yako ni kwamba timu zote za shirikisho ni timu mbovu. Ndio maana nikakuuliza mbona timu iliyoshinda klabu bingwa imefungwa na bingwa wa shirikisho kwenye CAF super cup. Sipo kwaajili ya ligi mkuu kama akili yako inawaza hivyo basi mpira haujui au upo kishabiki. Kwaheri
 
Back
Top Bottom