denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Anayejua habahatishi.Wengine hawabahatishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayejua habahatishi.Wengine hawabahatishi?
Nusu fainali au fainali?Acheni kuwabagua Utopolo jamani..
Simba itaweza kufika Nusu fainali tena ya club Bingwa kama 1974??
Hii ilikuwa kuwatetemesha watoto akili, inaitwa mipango.Na hapa mlitumia uchawi mbele ya malooser
Sio ubishani ni katika kuangalia mazingira yaliyopelekea mpaka wewe ukawa hapo ulipo.Napoteza muda wangu bure kwasababu unataka kubadilisha majadiliano kuwa ligi ya ubishani. Basi baki na msimamo kuwa Pyramid na timu zote zilizopo kwenye shirikisho hazitumii mbinu wala ufundi kushinda bali wana bahatisha tu kushinda. Maana unafananisha masomo na mpira wa miguu ambao kila kitu kibaonekana uwanjani.
Nimekuuliza mechi ya Super Cup kwasababu wewe hoja yako ni kwamba timu zote za shirikisho ni timu mbovu. Ndio maana nikakuuliza mbona timu iliyoshinda klabu bingwa imefungwa na bingwa wa shirikisho kwenye CAF super cup. Sipo kwaajili ya ligi mkuu kama akili yako inawaza hivyo basi mpira haujui au upo kishabiki. Kwaheri
Liverpool na Chelsea ni moja kati ya team mbovu zaidi pale uingereza kwa sasa. Lakini wapo UEFA wakati Arsenal na Man U hawamo!
Hii game bila Mugalu kuzingua, Simba alikuwa ana nafasi nzuri tu ya kushinda.Na hapa mlitumia uchawi mbele ya malooser
Mashabiki wa Simba mnahitaji ELIMU ELIMU ELIMU, kuhusu soka cha kushangaza hata mashabiki werevu wa Simba wenye weredi wao nao huwezi watofautisha na mashabiki wasio na elimu ya shule ya Msingi au sekondari kama sio chuo wote ni MbumbumbuNdio loser hilo hilo
Hao ni kama resetters waliofeli 4M4
Kwa utafiti wangu mashabiki wa Yanga wengi hawajui soka ukiringanisha na wasimba.Mashabiki wa Simba mnahitaji ELIMU ELIMU ELIMU, kuhusu soka cha kushangaza hata mashabiki werevu wa Simba wenye weredi wao nao huwezi watofautisha na mashabiki wasio na elimu ya shule ya Msingi au sekondari kama sio chuo wote ni Mbumbumbu
Labda man city sio mandonga unitedTimu yoyote ni dhaifu au ni imara inategemea tu unailinganisha na timu gani..!!
Simba ukiilinganisha na Lipuli ya Iringa, Simba ni imara, lakini ukiilinganisha na MAN U Simba ni dhaifu wa kutupwa..!!
Same applies to CAF. Hawa wabovu wa sasa, walikua vizuri msimu uliopita. Ndicho nilichokimaanisha!Hapa unaongelea timu hizo kwenye misimu miwili tofauti...walikuwa vizuri wakati au msimu uliopita na wakapata sifa za kuingia UEFA..msimu huu wakati sasa mashindano waliyoingia ndio yanaanza kwenye ligi yao wanaweza wasiwe vizuri.
Huyo ni kichaa achana naye, thread hii ni kipimo tosha cha kuwajuwa mataahira wa JF.Napoteza muda wangu bure kwasababu unataka kubadilisha majadiliano kuwa ligi ya ubishani. Basi baki na msimamo kuwa Pyramid na timu zote zilizopo kwenye shirikisho hazitumii mbinu wala ufundi kushinda bali wana bahatisha tu kushinda. Maana unafananisha masomo na mpira wa miguu ambao kila kitu kibaonekana uwanjani.
Nimekuuliza mechi ya Super Cup kwasababu wewe hoja yako ni kwamba timu zote za shirikisho ni timu mbovu. Ndio maana nikakuuliza mbona timu iliyoshinda klabu bingwa imefungwa na bingwa wa shirikisho kwenye CAF super cup. Sipo kwaajili ya ligi mkuu kama akili yako inawaza hivyo basi mpira haujui au upo kishabiki. Kwaheri
Mi kichaa kwasababu natofautiana mitazamo na nyie?Huyo ni kichaa achana naye, thread hii ni kipimo tosha cha kuwajuwa mataahira wa JF.
Simba, VipersKuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI?
Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga zimeingia kwenye makundi Mara ngapi?
DJ walete.
Tatizo anataka kulazimisha yeye anaakili sana kwa kupata F ya 34 kuliko wenzie wenye 0 wakati wote ni sawa na viazi tu.Sasa game yenu na Mazembe ilikuwaje?
Standard za loser huzijui?
Shuleni ukipata alama chini ya 30 ilikuwa inahesabiwa F
Katika hao waliopata F wapo waliopata F yenye alama 19 na wapo waliopata 0 kabisa
Wewe una haki ya kumcheka mwenye alama 2 kwasababu wewe una 5 ila wote mpo daraja moja
Japo wote wapo kwenye daraja moja ila haimaanishi tukisema tufanye mchujo kati hao hatuwezi kumpata mwenye akili kuwazidi hao wengine
Kwa hiyo wewe na Tp Mazembe ni failures wawili waliopo daraja moja ila wenye alama tofauti
Umeshaambiwa shirikisho huko ni mwendo bahati, vilaza wamekutana atakae mbaatisha mwenzie basi anakuwa mshindi kati ya wajinga, ukiona mjinga kamshinda mwenye akili basi ujue kadesa kwa mwenye akili ila haibidilishi yeye kuwa loserKwenye maswali yangu kuna sehemu nimekuuliza kuhusu mechi ya Simba au Al Ahly? Nimekuuliza Yanga kamfunga Tp Mazembe kwasababu ya bahati au uwezo? Na nimekuuliza kama timu zinazoshiriki shirikisho ni timu mbovu kwanini kwenye super cup bingwa kawa timu iliyoshiriki shirikisho? Au hujui kama kuna CAF super cup ambapo wanashindanisha mabingwa waliochukua kombe la CAF interclub katika msimu husika?
Hakuna timu inayocheza mpira katika ngazi za kimataifa ikakosa kuwa na mbinu na kuhusu ubora, ni kwamba ubora ni zao la vitu vingi ikiwemo mbinu + ufundi + wachezaji bora.na benchi bora.
Ni matumizi mabaya ya rasilimali kubishana na mtu wa kariba huu.Usihamishe mada, Mada yako ya juu kabisa umedai ya kwamba mechi za klabu bingwa timu zinashinda kwa uwezo ila katika shirikisho timu hazishindi kwa uwezo bali ni kwa bahati. Naomba tujadili hili la uwezo vs bahati. Ushindi wa uwezo unakuaje na wa bahati unakuaje? Tp Mazembe kafungwa na yanga kwa kuzidiwa au kwa bahati?
Halafu mbona swala la bingwa wa shirikisho kumfunga bingwa wa klabu bingwa katika CAF super cup mbona umeshindwa kujibu kwanini afungwe na timu iliyoshiriki shirikisho kama timu zinazoshiriki shirikisho ni mbovu kuliko za klabu bingwa?