Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Majibu yameanza kumiminika.Makundi yapi, ya loser au ya mabingwa?
Ligi ya mabingwa wa kitu gani?Makundi yapi, ya loser au ya mabingwa?
MpiraLigi ya mabingwa wa kitu gani?
Tutafika tu.πππMpira
Hakuna ligi ya loser bali kuna kombe la shirikisho la CAF na ligi ya mabingwa Africa. Kuna timu zinaanzia kwanzia hatua ya awali katika shirikisho na hawajatokea kwenye ligi ya mabingwa.Makundi yapi, ya loser au ya mabingwa?
Ndio loser hilo hiloHakuna ligi ya looser bali kuna kombe la shirikisho la CAF na ligi ya mabingwa Africa. Kuna timu zinaanzia kwanzia hatua ya awali katika shirikisho na hawatokea kwenye ligi ya mabingwa.
Hivi hii tabia ya kujifananisha na wakubwa itakoma lini?Ni muda sasa wa kutandika watu fimbo za shingoni hadi waimbe haleluya.π€π€π€π€Ndio loser hilo hilo
Hao ni kama resetters waliofeli 4M4
Hio Kombe la losers wewe ulifanikiwa kufika nusu fainali pamoja na kuwasha moto kwenye viwanja vya watu? Si uliona shughuli pevu mpaka mkatafuta njia mbadala ili mtoboe.Ndio loser hilo hilo
Hao ni kama resetters waliofeli 4M4
Nilikuwa loser mwenye nafuu na ndio maana niliweza kushiriki halafu wewe uliye loser zaidi hukushirikiHio Kombe la losers wewe ulifanikiwa kufika nusu fainali pamoja na kuwasha moto kwenye viwanja vya watu? Si uliona shughuli pevu mpaka mkatafuta njia mbadala ili mtoboe.
Timu yoyote ni dhaifu au ni imara inategemea tu unailinganisha na timu gani..!!Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI?
Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga zimeingia kwenye makundi Mara ngapi?
DJ walete.
Ingekuwa wanaoshiriki klabu bingwa wanauwezo mkubwa kuliko wanaoshiriki shirikisho basi Wydad ambao ndio bingwa wa klabu bingwa asingefungwa na Berkane ambaye ni bingwa wa kombe la shirikisho katika super cupHivi hii tabia ya kujifananisha na wakubwa itakoma lini?Ni muda sasa wa kutandika watu fimbo za shingoni hadi waimbe haleluya.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
"Ingekuwa"!Nipo hapa Real Estate Mbarali napalilia majaruba ya "mchele"!Ihefu wanatoa salamu nyingi sana kwa "unbeaten"!ππππIngekuwa wanaoshiriki klabu bingwa wanauwezo mkubwa kuliko wanaoshiriki shirikisho basi Wydad ambao ndio bingwa wa klabu bingwa asingefungwa na Berkane ambaye ni bingwa wa kombe la shirikisho katika super cup
Sawa loser mwenye nafuu, malizia kwanza kufanya maombi ya Horoya kutomfunga Raja kisha ndio uangaike na ya hilo kombe unaloita la losers.Nilikuwa loser mwenye nafuu na ndio maana niliweza kushiriki halafu wewe uliye loser zaidi hukushiriki
Wydad amefungwa na Berkane kwenye kombe la loser?Ingekuwa wanaoshiriki klabu bingwa wanauwezo mkubwa kuliko wanaoshiriki shirikisho basi Wydad ambao ndio bingwa wa klabu bingwa asingefungwa na Berkane ambaye ni bingwa wa kombe la shirikisho katika super cup
Kabisa mkuu, Ihefu akaifanya Yanga isiongoze ligi. Msimu huu kombe ni la Ihefu ama Simba lazima mmoja wapo achukue."Ingekuwa"!Nipo hapa Real Estate Mbarali napalilia majaruba ya "mchele"!Ihefu wanatoa salamu nyingi sana kwa "unbeaten"![emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sijasema looser, nimesema loser. Kuna utofauti hapoSawa looser mwenye nafuu, malizia kwanza kufanya maombi ya Horoya kutomfunga Raja kisha ndio uangaike na ya hilo kombe unaloita la loosers.
Kabisa mkuu, Ihefu akaifanya Yanga isiongoze ligi. Msimu huu kombe ni la Ihefu ama Simba lazima mmoja wapo achukue.
Haujui kama hua kuna shindano la kumshindanisha bingwa wa kombe la losers vs bingwa wa kombe la ligi ya mabingwa kisha anapatikana bingwa wa wote. Inaitwa CAF SUPER CUP ambapo Berkane ambaye ndiye bingwa wa kombe la losers akamgalaza Wydad ambaye ni bingwa wa klabu bingwa kwa magoli mawili kwa yaiWydad amefungwa na Berkane kwenye kombe la loser?