Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Sijasema looser, nimesema loser. Kuna utofauti hapo

Yani sisi hata tutolewe kwenye makundi bado hauwezi kutuweka daraja sawa na wewe hata uvuke makundi

Mechi za loser zinaamuliwa kwa bahati, wakati za mabingwa huku ni uwezo

Hakuna mashindano ya bahati katika mpira wa miguu. Onesha mechi zipi zilizoamuliwa kwa bahati. Halafu tambua katika mpira wa miguu mafanikio ni kubeba kombe, hivyo anayechukua kombe la shirikisho atakuwa kapata mafanikio makubwa kuliko aliyeishia robo fainali klabu bingwa .
 
Ukieleza kuhusu mafanikio,kuna hatua.Aliyeishi miaka ishirini si sawa na aliyeishi miaka sitini.Kuna mmoja ana haki ya kujiita kala chumvi nyingi.
 
Naona sindano imekuingia hiyo. Haya kawndelee kuimba mapambio ya Ihefu kuharibu unbeaten huku Yanga wakikaribia kuchukua kombe la NBC mara ya pili mfululizo
Hata wengine walichukua mara nne mfululizo.Sijui kama ninaweza kukuambia uendelee kujiliza kwamba ni mkubwa?
 
Kwenye mpira bahati zipo.
 
Hapo no sawa na useme, haujui Yanga ambayo inacheza michuano ya loser ilikuja kumgalagaza Azam kwenye NBC

Hoja ya msingi ni je huo ushindi uliupata kwenye mashindano gani? Loser au mengineyo?
 
Sasa losers wawili wakikutana unafikiri unategemea kuona nini kama sio bahati?

Hapo ni mwenye nafuu Vs mwenye angalau
 
Hakuna ligi ya loser bali kuna kombe la shirikisho la CAF na ligi ya mabingwa Africa. Kuna timu zinaanzia kwanzia hatua ya awali katika shirikisho na hawajatokea kwenye ligi ya mabingwa.

Ligi ambayo hata Biashara utd ya musoma ina uwezo wa kufika hatua ya makundi kwa kuzifunga timu kazaa, huwezi kusema ni ligi ngumu.

Kombe la shirikisho hata biashara utd analimudu.

Hata namungo pia analimudu kufika hatua ya makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…