Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Ni bizuri kuguata taratibu za kisheria, kuna wajumbe wa serikali za mitaa, ambao ndio ngazi ya mwanzo wanaweza kuzungumza nae kama hataelewa then utaendelea na utaratibu unaofuata
Ndo tayari inakuwa ndiyo tunaouzungumza hapa!
Kupelekana kwenye mabaraza tayari mnakuwa mmekosana
 
Ndo tayari inakuwa ndiyo tunaouzungumza hapa!
Kupelekana kwenye mabaraza tayari mnakuwa mmekosana
Sio kukosana kwa sababu tayari ulishatumia njia ya kidiplomasia akagoma, that means huyo jirani ni mkorofi in nature
 
Ndo mpaka upate mtu muelewa..wengine sio waelewa kabisa
 
Na huo ukorofi ndo kunafanya mkosane sasa...watu wana tabia tofaut tofaut..unaweza ukawa mwelewa ukataka suluhu bila ugomvi...ila inategemea huyo mwenzio ni mtu wa aina gan
Pole sana, majirani wa namna hiyo wapo na hakuna jinsi ya kudeal nao zaidi ya kufuata taratibu zinazokubalika kisheria
 
Kwani wewe hujawahi kwaruzana na jirani hata kwa jambo dogo
So far hapana, kuna wakati mti wake wa mnazi ulidondoka kwenye fensi yetu, lakini he was kind enough, aligharamia kujenga fensi na aliomba radhi kwa usumbufu, majirani wote waliotuzunguka ni wastaarabu kwa kiasi chao na naomba waendelee hivyo hivyo
 
Ngoja nijazie na nyama hapo wakati anapanda avae shuka jekundu kabisa , huku unaimba [emoji445] tawile tawile tawile [emoji445] akiukata tena nitafute nkupe mbinu nyingine [emoji28]
 
Unakaa chanika...wewe..enhh?
 
Kuombaomba vitu vidogovidogo kila mara. Akisikia harufu ya nyama au samaki anakuja mbio na kibakuli chake huku kashikilia dera lake na mkono mmoja.
Chanzo cha tabia ya kuomba omba huwa ni nini ?
 
Yaani tusiopenda ugomvu tunaumizwa Sana Kuna majirani wa2 walibomokewa na nyumba mvua ya mwaka jana,wakaja kuomba tofali wajistiri,kwa utuwangu nikawapa mmoja tofali mia900 Mwingine tofali 400 kwa ahadi ya kurejesha may na July mwaka 2020.Kilichotokea hawaja rejesha na wa Mia 900 anadai alizochukua ziilikuwa mia7, wa Mia 400 anadai zilikuwa mia2 na 4.kama SI ukorofi Ni Nini mkuu.UZURI TULIANDIKIANA NA NILIWAREKODI KTK MAKUBALIANO!
 
Hii ni kweli...maana wakati mwingine ni wivu tu ndo unakuta unamsumbua mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…