Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,159
Sifa za wana JfChakufurahisha waja jf wote ndio wanaokosewa na majirani ila wao hawawakosei majirani zao
Hakikaa mazoea mabaya sana nami nina jirani tulizoeana sana mwanzoni ila baadae mambo yamekua ya hovyoo sanaa maneno meeengi nimejifunzaChanzo cha yote ni hayo mazoea ya mwanzoni, mazoea ni mabaya sana
Wahaya wasengeee Sana yuk moja jiran yangu kaacha bekoni fensi kafunga mbele ya bikoni miguu mitatu toka bikoniUsiombe upakane na mchaga au mhaya, mtagombania ardhi mpaka ahakikishe unaondoka duniani
Hahah ndo hapo sasaChakufurahisha waja jf wote ndio wanaokosewa na majirani ila wao hawawakosei majirani zao
KabisaHakikaa mazoea mabaya sana nami nina jirani tulizoeana sana mwanzoni ila baadae mambo yamekua ya hovyoo sanaa maneno meeengi nimejifunza
Noma sanaWahaya wasengeee Sana yuk moja jiran yangu kaacha bekoni fensi kafunga mbele ya bikoni miguu mitatu toka bikoni
Ni tabia ya mtuChanzo cha tabia ya kuomba omba huwa ni nini ?
Labda akipika makande au githeriSiku akipika yeye Vipi hakuletei na wewe uonje?
Githeri achanganye na managu.Labda akipika makande au githeri
[emoji23][emoji23][emoji848] Mimi sigombani na majirani, Bali wao wanagombana na Mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzi unafurahisha huuKuna siku ghetto nlitoka kdog kwenda dukan kurudi nilikuta wamechemsha maji kwa heater alaf wamegawana vikombe wanakunywa Chai wamechana na teabags zangu kwanzia siku hiyo nikawa naweka vyakula mbali alaf ni watu wazima wameshaowa ni mm peke yangu ndo sjaowa lakin hawaon kuwa wananiharibia bajet zangu, hiv unaanzaje kula vyakula kwa mtu bila kualikwa? Yan ujipakulie tu
DuhLabda akipika makande au githeri
Hii kali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie nililima mahindi katika eneo langu kwa lengo la kushika kiwanja,yalipofikia umri wa kukomaa nikapata vi hela flani nkaona nijenge ntakapo ishia ni hapo hapo. nikamjulisha jirani yangu awe anachuma mahindi ya kula kula anapopata shida maana walianza kuyaiba. upumbavu wake akaanza yalinda ili yakauke afanye mahindi ya ugali ile nimepata vihela nikaja yachuma ili kujenga msingi hahahahah acha ani maindi kwamba nilisha mpa hayo mahindi na alitaka yakauke ndio ayachume ndo mwanzo wa kuzinguana.
Kama gari haifiki site kwake! Mikokoteni mingapi
Nyie jamaa bwana[emoji23]Kama mkokoteni haufiki site kwake! Viroba vingapi?
Tupo tusio na chochote hatusemi tuSifa za wana Jf
.Wote ndio wanaokosewa
.Wote hawana vibamia
.Wote wana magari
.Wote wamesoma
Nyingine ongezea hapo[emoji16][emoji16][emoji16]
Wahaya tunaonewa. Weka msingi wa fence. Au Kuna baadhi ya watu huwa wanajenga beacon (ndefu kidogo) za tofali Kama kozi 3 kwenye Kona zote za kiwanja.Mpaka nimeogopa nimezungukwa na wahaya na wanyakyusa wagombania ardhi[emoji1751][emoji1751]
Huu Sasa Ni uwanaume. Hakuna Cha sijui vikao vya usuluhishi, Ni vitendo tu.Mkuu niilikuwa na tofali km elfu 4 nilitafuta mafundi nikawapa kazi sharti wajengee usiku na bila makelele.Kazi ilifanyika kuanzia SAA 5 usiku nikazungusja fensi mabanda ya kuku choo na karo ndani nikasubiri matokeo.nilijenga ijumaa usiku ilipofika j3
Jamaa wakaenda kushtaki wakapewa samansi naitwa ofisi ya kata.
Nilikaa siku 6 ya Saba ndo nikaripot .Sababu ya kuripot late ukuta ukauke
Kwenye mahojiano kwanini nimeingia maeneo yao.?
JIBU kuwa SIJAINGIA ENEO LA MTU NA JIJI NDO WANAJUA MIPAKA HALALI YA ENEO LANGU NA YAO KWANI HAO NDIO WALIOPIMA NA KUWEKA ALAMA.NAOMBA WAKATUONESHE MIPAKA HALALI!
IKAPANGWA SIKU NYINGINE.
ILIPOFIKA HATUA YA WATAALAMU KUJA KUONESHA MIPAKA WAKAPATA AIBU NA MABANDA NA VILIVYOMO VIKABAKI KWANGU! MWISHO WASIKU WAO NDO HAWAELEWANI KWANI WAMEPATA HASARA WASIYO ITARAJIA!!!
Ndo dawa ya wakorofiHuu Sasa Ni uwanaume. Hakuna Cha sijui vikao vya usuluhishi, Ni vitendo tu.
Hakika tunakosewa sanaaaa na wasio Wana jei efuTupo tusio na chochote hatusemi tu
Mkuu hakika nimecheka sana..... hapa hatuongezi wala kupunguza. Hii comment ni balaaKuombaomba vitu vidogovidogo kila mara. Akisikia harufu ya nyama au samaki anakuja mbio na kibakuli chake huku kashikilia dera lake na mkono mmoja.