Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pengine hayo ni mazuri yake lakini mzani unaelemea upande wa kushindwa kazi.
 
Tuna Viongozi waandamizi Ndani ya Chama ambao ni Madalali wa Mapebari. Kwao kuwa na Kiongozi Mkuu ambaye anawaacha kufanya Udalali wao bila kikwazo na kujichotea Rasilimali za Nchi bila kukemewa ndio furaha yao ndio maaana wanampamba kwa kila Usemi. Lakini tukumbuke zinakuja zama za kuwafanya Nyie Panya na Madalali wa Rasilimali za Nchi muishi kama Misukule, zama zile mliishi kama Digidigi waulizeni akina Quality Plaza, Mooo, Singiii na Rugwemwalila kilichowakuta.
Ipo siku yenu msije sema hatukuwaonya
 
Porojo za kijinga.

Hayo uliyoongea ndio Yana define dira ya Nchi au kuweza au Kushindwa Kwa Rais?

Jitokezeni hadharani mseme mnataka kushindana nae ubavu 2025 sio kujificha makoridoni kama panya 😆😆
 
Duuh,hizo sababu zako ni za kipuuzi sana.

Zisome na zitafakari tena.
 
Nchi ni kama inaongozwa na walevi, inapepesuka
 
Tumemiss hotuba za Jembe Rais John Pombe Magufuli zilizokuwa na mweleko wa matumaini zikiambatana na:

** istilahi maalumu,
** nafsi ya kwanza wingi na umoja,
** misemo,
**uradidi wa maneno,
** lugha ya matumaini,
** takwimu za kuonesha tulipokuwa, tulipo na tunapoelekea,
** Balagha,
** Mzaha,
** lugha yenye mshikamano na lafudhi za lugha za makabila.

Ulikuwa unalala unajua reli ya SGR ipo asilimia ngapi, Bwawa la mwalimu Nyerere lipo hatua gani, Vituo vya afya vimefika vingapi, eneo gani na lipi kilomita za barabra zinatandazwa lami, Meli ngapi zinajengwa, Ndege ngapi zipo katika mpango wa kukamilishwa na kuja nchini, Viwanda vingapi na vya nini na nini vinajengwa.

Tumemiss sanaaa sanaaa sanaa haya mambo, kwa sasa watu hawatakiwi kuyaongelea maama hayaendi yatawavua nguo.

Call me Magaaaala. Am out
 
Mawazo yako ni mazuri mtoa mada,mama ana Nia Njema Kwa kias kikubwa wasaidizi wake wanamwangusha baadhi Yao,ila mama ni msikivu anasikia na kuyafanyia kazi
Sio kweli, familia lege sio watoto ni kuanzia wazazi
 
Yeye anawaza uchaguzi tu hadi anakwenda kuomba msaada wa JW kuishughuikìa Chadema. CDF anatoa alert juu wahamiaji haramu waliojichomeka hadi kwenye ngazi ya maamuzi yeye anawashtaki Chadema kuwa wataleta vurugu kwenye chaguzi zijazo yaani ni ardhi na mbingu kabisa.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Na hili Mkalitazame
 
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.

2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi...
Nchimbi anadai amefanya makubwa bila kujigamba .naonga na ww .saa 100 anataka chip popularity ya kununua magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…