Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #21
Pengine hayo ni mazuri yake lakini mzani unaelemea upande wa kushindwa kazi.Kashindwaje kazi wakati ameruhusu maandamano?
Kashindwaje kazi wakati hafokei watu?
Kashindwaje kazi wakati hana kauli mbaya?
Kashindwaje kazi wakati hakuna tena watu wasiojulikana?
Kashindwaje kazi wakati alimtoa Mbowe jela?
Kashindwaje kazi wakati alimwalika Mbowe ikulu na kumpa juisi?
Samia ndo Rais mwenye mafanikio sana kuliko Rais yeyote mwingine yule kupata kutokea Tanzania, Afrika, na duniani kwa ujumla.
Hakuna kama Samia.