ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukiambiwa na nani January? Rais alitoa deadline lini? Mbona awamu yenu mliambiwa 2019 lakini Hadi mnafukiwa mlikuwa Bado?SGR tuliambiwa January lakini mpaka sasa ni bila bila hakuna anaezungumza
Wewe una uchungu? Kwa nini usipende Kuzalishwa?Samia hana uchungu na nchi ya Tanganyika; ana uchungu na nchi yake ya Zanzibar tu. Mungu anamuona.
Kufeli kunaendelea kama kawaida Hadi Suku wote wakimbie jukwaa 😂😂Uwezo wake wa kufikiri mambo kiyakinifu ni mdogo mno. Kwa ujumla mpaka sasa ameshafeli kwa kiwango cha Kimataifa.
Haters tuu hao ,ni wale waliowekwa kumchafua wakijaribu Kuchezea karata zao makoridoni kuelekea 2025.We hujaona kama kafungua nchi fanyeni kutoka mje kutengeneza barabara zenu na mnunue majenereta muache kulalamika.na manesi juzi wametafutiwa kazi kwenye serikali ya saudia,(cha muhimu ni kumuomba aendelee kuwatafutia ajira huko uarabuni maana diaspora wakiwa wengi basi uchumi wa mtu mmoja mmoja utaongezeka kwa kasi) na vipi kuhusu mradi ule wa kilimo wa vijana. Afu sukari ni anasa na kupanda magari ni anasa pia🤣..Ama kweli kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake ivi mawaziri wanapata wapi nguvu ya kutembelea maV8 ya milioni 400 halafu ukute jimboni kwake kuna sehemu shule hazina madawati na walimu,dispensary zinapumulia mashine
Kuzalishwa nimekuachia wewe...endelea kuzalishwa hadi mapacha uijaze Zanzibar ilingane idadi ya watu na TanganyikaWewe una uchungu? Kwa nini usipende Kuzalishwa?
Basi awamu hii tumekuwa na taasisi dhaifu na ya hovyo kuwahi kutokea nchi hiiPoint zote 10 zinaihusu CCM na ilani ya Uchaguzi
Rais ni Taasisi
Mchawi 1977 katibaNiliwahi kusema humu, nanukuu;
"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kufika mahali wakagundua kuwa wananchi hamna cha kuwafanya.."
Mkanibeza.
Wewe si una uchungu? Nenda kazalowhwe uchungu uishe.Kuzalishwa nimekuachia wewe...endelea kuzalishwa hadi mapacha uijaze Zanzibar ilingane idadi ya watu na Tanganyika
Leo ndiyo wewe unegundua?1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.
2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi.
3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna anayejali. Yaani sasa hivi huduma za muhimu zimekuwa anasa.
4. Mfumuko mkubwa wa bei kwa bidhaa mbalimbali kutokana na uongezaji wa bei ya mafuta yanayoingia dar es salaam.
5. Nchi haijawezesha uzalishaji na uchakataji wa mazao na bidhaa ili angalau tuongeze mauzo ya nje.
6. Bei za magari zimeongezeka maradufu kutokana na kupandisha kodi. Mwaka 2020 nilimnunulia dogo kutoka yard IST kwa 10.8m leo hii inauzwa 17m.
7. Nauli za daladala zilikuwa shilingi 400 mwaka 2021 na sasa ni shilingi 600. Ongezeko la asilimia 50.
8. Hakuna uelekeo kwenye suala la kuongeza fursa za ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo mbalimbali.
9. Ubadhilifu na ufisadi mkubwa katika halmashauri na mashirika ya umma. Ripoti za CAG zinapuuzwa.
10. Reli ya sgr haieleweki itaanza lini. Kuna dalili ikafika 2025 kabla haijaanza. Bwana la Mwalimu Nyerere imekuwa siasa.
Mazuri kama yapi? Amebomoa nini?View attachment 2880009
Ni rahisi sana kutabiri Tanzania inapoelekea kwa maamuzi ya uongozi wa juu.
Baada ya kuanza ubunifu wake ‘bi tozo’ back in June 2022 wakati kila bado rosy, wengine tulisema anaenda bomoa mazuri aliyoyakuta itafika wakati atachokwa kwa uharibifu unaoenda kutokea mbeleni.
Chawa wake walikuwa wanaona kama personal attacks, wakati watu wanamsihi huyo mama asitoke kwenye njia aliyoikuta.
Huu sasa ndio ule wakati wa muda kuongea kutokana na maamuzi yake.
Mambo ambayo Suku Huwa hampendi kuyasikia Wala kuyasema ni kama haya 👇Leo ndiyo wewe unegundua?
Katoe sukari ulikoficha kabla hujafikiwaInasikitisha sana
Hao wasaidizi wanaomwangusha kwa nini asiwachukulie hatua? Anadhani kuwastupidisha peke yake inatosha? Ajifunze kutoka kwa kikwete alivyokuwa anawachekeachekea matokeo yake serikali yake ikadoda na kugeuka kuwa genge la mafisadi tu.Mawazo yako ni mazuri mtoa mada,mama ana Nia Njema Kwa kias kikubwa wasaidizi wake wanamwangusha baadhi Yao,ila mama ni msikivu anasikia na kuyafanyia kazi
Katoe sukari ulikoficha kabla hujafikiwa
View: https://www.instagram.com/reel/C2auZRpCagf/?igsh=cHFqNnR3b2IwMXFx
Wacha porojo wewe, nani alikudqnganya Rais wa CCM ana Dirac yake?1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.