Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe jamaa ChoiceVariable umekosa ajira hadi wamekugeuza chawa. Unalamba makwapa ya watu kwa juhudi kubwa ili ulipwe buku saba. What a wastage of life!!
 
Wewe unaweza?
 
Rais Samia amekosa uthubutu kabisa, anachoweza kufanya labda afukuze Wateule wake wote kuanzia chini kabisa halafu aanze upya.
Hivi kweli Rais serious anaweza vipi kuendelea na kina Mwigulu, Makamba, Nape, Ridhiwani, Mavunde eti Hawa ndio Mawaziri wa mtu anayetaka kuaminiwa kuwa ni mkombozi wa Taifa lenye kila kitu.
Naamini hata mbele za Mungu hawezi kutusaidia kwa huu utani unaofanywa, Mungu ashatupuuza kitambo sana, yaani Rais wetu hajui kabisa kuwa nchi ipo mikononi mwa vibaka, hivi anadhani Mungu alipoweka sheria hakujua kuwa hawa viumbe ukiwachekea hawataiacha Dunia salama?
Tunachoweza kufanya ni kumuombea tu kwa Mungu aoteshwe tu kuwa nchi ameiuza kwa vibaka, azinduke atuachie nchi yetu au afanye maamuzi magumu, yeye ashashiba utajiri basi watuachie hata hayo makombo tu tumalizie.
 
Acheni kuropoka vitu msivyovijua na ambavyo hamna ushahidi navyo.

Hakuna Rais anaeweza mfikia Samia Kwa lolote kuanzia miradi Hadi uhuru wa KisiasaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1749754289201795225?t=uoEZMR8Y-4y3KFK5EtDPyA&s=19
View: https://twitter.com/twendenamama/status/1749754549366104573?t=5NFjanXpIyxsiR3XOa6Avg&s=19
 
sasa hebu weka mafanikio yake uone talivyo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa unaongea kitu Gani,miradi yote ya bwawa sgr ameanzisha magu Samia akiwa makamu wake,unataka afanye Nini,asiendeleze?au achague baadhi ya kuendeleza na kuacha mingine
 
Sio kweli, familia lege sio watoto ni kuanzia wazazi

Mtoto unazaliwa wazee wanakulea vizur hadi unakuwa Mtu mzima na family yako,unaanza kuwa shoga Kwa utashi wako Kisha uje uwape lawama wazazi?
 
Hao wasaidizi wanaomwangusha kwa nini asiwachukulie hatua? Anadhani kuwastupidisha peke yake inatosha? Ajifunze kutoka kwa kikwete alivyokuwa anawachekeachekea matokeo yake serikali yake ikadoda na kugeuka kuwa genge la mafisadi tu.
Magufuli ambae alikuwa mkali kwani watu waliacha kuibia serikali?

Report za CAG Bado zilikua chafu na kuonesha watu Bado walikuwa wapigaji kwani ulikua huoni?
 
Sasa ndujgu yangu kama kwa akili hizi na wewe unajiona umejibu basi una shida kubwa Tanzania;

Kama,

kuruhusu maandamano ya amani, ndo kutazuia umeme kukatika basi SAWAA
Kumtoa Mbowe jela, kumuita ikulu na kutosikia tena wasiojulikama ndo kunaleta uwajibikaji makazini na kuzuia wizi wa mali ya uma na kushusha mfumuko wa bei basi Mama anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…