pole sanaHaueleweki unaongea nini..
Mimi ninaonesha namna magufuli alivyoanzisha tatizo la nchi kukopa sana baada ya kuharibu uwekezaji nchini. Huyu Samia ni incompetent hivyo hawezi kusimamia nchi kwa hali ilivyo. Anatakiwa rais mwenye akili kubwa.
mungu wenu alishasemaga kuwa ashauriki, na ukimshauri umeharibu kabisa, kuna wakati PM alisema ashapata wanunuzi wakorosho, yeye akamjibu hataki kusikia habari hizo,ashamuamuru CDF maroli yaende kusini kusomba korosho,
Kilichofuatia baada hapo kila mtu anajua, soko la korosho likashuka na wakulima walitiwa umasikini wakutisha, mzee akawa anaogopa hata kutaja neno korosho, alikuwa one Man show
Championship ungeanza kwa kumuandika Mama au Rais Samia hata kama anapitisha sheria za wale wapigaji bila kuangalia madhara yake..Samia amekopa fedha nyingi za imf na wb kwa ajili ya kupambana na makali ya covid, ujenzi wa madarasa na kiasi vita ya ukraine. Pia ameendelea kutumia baadhi ya hizi fedha kulipa madeni ya ndani kama wazabuni na pssf.
Mikopo mingine ni kwenye muendelezo wa phases za ujenzi wa reli (maana phase nyingine walikuwa bado wanatafuta fedha), kigongo busisi, barabara, bwawa la umeme etc
Nitajie mradi wowote uliokamilika kipindi cha magufuli ukiondoa brt ambayo kila kitu kimeandaliwa na kikwete, flyover ya ubungo iliyojengwa na world bank na ile ya tazara iliyojengwa na wajapani.Miradi hii hii inayoenda spidi ya kobe ?
Mbona enzi za JPM spidi ya at miradi tulikuwa tunaiona bila hizo tozo ?
Kama hujaelewa katika maelezo yangu yote basi tukubali kutokubaliana.Unaona sasa kumbe ni empty air, hauna chochote cha ku back up unayoyasena na uko subjective lkn hauna unachoweza kuonyesha na unategemea anachosema raisi Samia? Mpaka leo hii ulitegemea chochote positive kumhusu Magufuli akiseme hata kama kipo? BTW kuhusu hazina Gavana wa Benki Kuu alishasema kuhusu fedha za kigeni ambazo nchi inazo zinatosha kuendesha nchi kwa miezi 6, hiyo ni Benki Kuu ilisema, karibia mwaka uliopita, hatujui hali ikoje sasa hivi!
32T to 58T hii unaweza kusema alizidisha karibu mara mbili wewe mbweaJamaa hebu kuwa mkweli na muungwana. Deni la taifa lilikuwa trilioni 32 mwaka 2015 na lilikuwa trilioni 58 wakati magufuli anafariki. Yaani alizidisha karibu mara mbili deni la serikali kwa miaka mitano.
Moja ya sababu iliyonifanya nimchukie sana magufuli ni tabia yake ya kusema uongo. Amekopa sana afdb, world bank, imf na mbaya zaidi mpaka mikopo kwenye mabenki ya biashara lakini majukwaani anasema hela za ndani. Watanzania kwa ujinga wao wanamuamini. Hata michango ya pssf alikuwa hapeleki hivyo deni la ndani pia liliongezeka sana.
Weka ushahidi wa hayo uliyosema kama mleta mada alivyofanya....acha kupiga mdomo!Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, Magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
We ushaidi unashindwa kuutafuta humu mtandaoni , mbona kila kitu kipo wazi kabisa,Weka ushahidi wa hayo uliyosema kama mleta mada alivyofanya....acha kupiga mdomo!
Covid ipi ? Hii Covid ambayo imemfanya apate fungu la kutosha na kujenga madarasa ambayo ndiyo yamekuwa wimbo ?Huyo mama karithi tatizo ambalo hana uwezo wa kulitatua hasa ukiweka vita ya ukraine pamoja na athari za covid.
Sasa unataka watoe huduma bila gharama ? Hapo ukitoa overheads na Kodi wanayotozwa na serikali hio hio (ambayo imeongezeka) unategemea bado charges ziwe ndogo kuliko yule anayechukua bila cost yoyote ?Jibu hoja makato ya tozo na watoa huduma yapi makubwa?
Akilipwa salary inaingia kwenye kibubu ? Au akimtumia mzazi wake kijijini atatuma kwa njia ya Posta ?Kwani Ndugu Huwezi. kutoq Hela zakoUkaweka Ndani kwenye. kibubu. ?
Maana Siku hizi Safe Box zinauzwa Tu Town
Kama washauri ndio hawa fisi walamba asali, thank god alikuwa hashauriki..., hawa hata wasiosikiliza vilio vya wananchi ndio wasikilizaji ?Ngosha hakutaka kushauriwa kwa lolote, kwa lawama zinamfaa peke yake,
Samia Ni Rais Bora kwa afrika
Sasa huoni gharama za watoa huduma ni kubwa kuliko uhalisia? Yaani kuwezesha kutuma pesa ndio wakate elfu 6?Sasa unataka watoe huduma bila gharama ? Hapo ukitoa overheads na Kodi wanayotozwa na serikali hio hio (ambayo imeongezeka) unategemea bado charges ziwe ndogo kuliko yule anayechukua bila cost yoyote ?
Hhhahahahah mzee umeniua mbavu sana na hiki ki memeza cha Tyrese
Kwenye faida ya hio miamala serikali wanawalipa ngapi ?, na umecheki overheads zao ni kiasi gani na shareholders wanalipwa ngapi ?Sasa huoni gharama za watoa huduma ni kubwa kuliko uhalisia? Yaani kuwezesha kutuma pesa ndio wakate elfu 6?
Yet unalaumu tozo ya serikali 1600,uko serious kichwani wewe?