Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Hotuba zimekuwa nyingi kiukweli, vibe ukumbini hakuna labda wakianza kutoa Tuzo zinazohusisha wasanii wakubwa
Kama mtu akifungulia luninga muda huu na ukamwambia hiyo ni hafla ya utoaji wa tuzo atakukatalia.
Sikuona mantiki ya kuunganisha hawa wazee wa chamudata na hawa wa muziki wa kizazi kipya. Kama tuzo zingetolewa kwa wanamuziki wa kizazi kipya kwa maana wao ndio wameishikilia sanaa kwa sasa.
Kama ni kuuenzi muziki wa zamani wangetafuta namna nyingine.
 
Namuona Barnaba kaacha mdomo wazi hata hajui nini kinaendelea.
 
Kama mtu akifungulia luninga muda huu na ukamwambia hiyo ni hafla ya utoaji wa tuzo atakukatalia.
Sikuona mantiki ya kuunganisha hawa wazee wa chamudata na hawa wa muziki wa kizazi kipya. Kama tuzo zingetolewa kwa wanamuziki wa kizazi kipya kwa maana wao ndio wameishikilia sanaa kwa sasa.
Kama ni kuuenzi muziki wa zamani wangetafuta namna nyingine.
Yeah walitakiwa kuweka vionjo vya kizamani katika muziki wa sasa, nachoona waandaaji wametengeneza kitu kinachoendana na enzi zao na si sasa

Ukumbi umepoaa, wasanii hata waliohudhuria ni kama wapo disappointed

Tumetoka kwenye njiwa, tukaingia kwenye shida na sasa tupo kwenye sea, performance kama pure bakurutu
 
Nadhani walioandaa walikosa focus maana inaendeshwa kizamani kiasi, labda huko mbeleni patachangamka lakini kwa sasa sioni vijana wamepoa ukumbini kama wameingia bakurutu [emoji1787]
Tuzo zimekaa kizee sana dah [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yeah walitakiwa kuweka vionjo vya kizamani katika muziki wa sasa, nachoona waandaaji wametengeneza kitu kinachoendana na enzi zao na si sasa

Ukumbi umepoaa, wasanii hata waliohudhuria ni kama wapo disappointed

Tumetoka kwenye njiwa, tukaingia kwenye shida na sasa tupo kwenye sea, performance kama pure bakurutu
Muziki anafanya kijana wa miaka 18-30+ lakini unaenda kuchujwa na mzee Kitime na jopo la Chamudata.
Kama ulivyosema, huenda tuzo zilikuwa kwa ajili ya wazee ila vijana wamewekwa ili kufanya tuzo ziende.
 
Hiyo jamaane anaepita na bango stejini la kudai haki katikati ya peformance, nimebaki nashangaa hapa [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vituko woiiiiiih
 
Sasa kama thinking ya Dokta. Abassi bado ni ya kipindi kile cha simba wa yuda, unafikiri anaweza kuwaza kitu kingine chenye ubunifu na tija zaidi? ogopa mtu aliyeokotwa tu huko from nowhere akapewa vinafasi, na bahati yake aliyembeba kaondoka lakini bado yumo unategemea ataacha kuwa chawa wa kiwango cha SGR? Yule jamaa ni kiazi sana believe me alitakiwa awe analima magimbi kijijini nkwao saahii.
 
Huku miriam migomba, mtangazaji wa taarab akiinjoi [emoji1][emoji1]

Nimemuona quick racka na young lunya kama wamepigwa na shoti [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muziki anafanya kijana wa miaka 18-30+ lakini unaenda kuchujwa na mzee Kitime na jopo la Chamudata.
Kama ulivyosema, huenda tuzo zilikuwa kwa ajili ya wazee ila vijana wamewekwa ili kufanya tuzo ziende.
Na kasema wanaotumia lugha ya matusi inaweza kuwacost kupata Tuzo, sasa na ni atapita hilo chujio 😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio nacheka hapa had najistukia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we Cheka tu,na mie nitakushtukia[emoji3]

Muigizaji bora sasa[emoji16]
 
Back
Top Bottom