Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond na Ruge wanastahili wameibadili music wa bongofleva.Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila
Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo
Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha
1. Utoaji wa Tuzo
Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado na Mama Samia Suluhu. Si kama hawastahili ila sioni umuhimu wa watu watatu kugawana spotlight
2. Too much politics
Sijaelewa ni Mimi Tu au vipi, yaani Tuzo zimekuwa kama platform ya kupromote siasa kuliko muziki wenyewe, nimeona hadi mabango ya kudai haki na background sound za kusifu uongozi.. Sio mbaya lakini haikuwa necessary
3. Management
Hapa waandaaji waangalie hata kili music awards zilivyokuwa zinaendeshwa maana nimeshangaa watu almost wanne wamepewa Tuzo ila kuna watu wamekaa stejini muda wote kama wanakamati, sijui ni public figures ama ushers
3. TBC Coverage
Mixing ya picha na presentation kiasi haijanivutia, hopeful next time watafanya vizuri zaidi
Nimeangalia high table au sijui ni VIP kumejaa political figures, sio mbaya ila wangemix na musical figures maana ni usiku wao
Nimependa stage settings wamejitajidi lakini pia wasanii naona wamejitahidi
Japo ndio imeanza, ngoja niangalie itaendeleaje
Diamond ndio sura ya muziki wa Tanzania popote duniani awa wengine ni vidogo sana.TUZO YA HESHIMA WAMEMPA MONDI, WATAELEWA TU 😂😂😂
Kuhusu mpangilio usitegemee lolote kwenye hizi tuzo, kwanza mpaka Venance Mabeyo kapata tuzo. Hizi tuzo wanazizika leo leo.Wanastahili lakini Tuzo ya Hall of fame ingetolewa kwa mtu mmoja ingependeza. Kutoa kwa watu watatu inakuwa sio vizuri hasa kwenye kumpa uzito mpokeaji
😁😁😁😁 ila hapo kwa mabeyo nilishtuka. Ila kwa maneno ya mtandaoni pengine waandaaji watajua ni nini watu wanahitajiKuhusu mpangilio usitegemee lolote kwenye hizi tuzo, kwanza mpaka Venance Mabeyo kapata tuzo. Hizi tuzo wanazizika leo leo.
HIZI TUZO NI UTUMBO MTUPU, KUNA MSANII UCHWARA ETI KAENDA NA MSAFARA NA SUTI MBAYAAAA YANI KAMA LILE SANAMU LA MICHELIN😝😝😝Kuhusu mpangilio usitegemee lolote kwenye hizi tuzo, kwanza mpaka Venance Mabeyo kapata tuzo. Hizi tuzo wanazizika leo leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapangiliaji wa peformance wamejua kukomesha raia ukumbini, hadi muda huu hamna amshaamsha daah
Na tumelmchoka nal wimbo huoPatricia hillary anaimba wimbo wa njiwa na hakuna hata back vocals [emoji16]..
Hapana kwakweli..mtanihadithia keshoMbona mapema hahaaa subiri mambo yatanoga