Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Naona wanatoa Tuzo ya video vixen lakini kwenye kutaja nominees hakuna hata picha zinazooneshwa
Kiukweli hapa nilishangaa majina waloyoyataja yote siyajui na mshindi hata hatumfahamu japo kwa picha tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we Cheka tu,na mie nitakushtukia[emoji3]

Muigizaji bora sasa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uwiiiih
 
[emoji23][emoji23] nimeangalia kidogo vimenishinda nikaona Bora niende kulala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzako nacheka kwaa sauti, had najiogopa uwiiiiih
 
Nadhani walioandaa walikosa focus maana inaendeshwa kizamani kiasi, labda huko mbeleni patachangamka lakini kwa sasa sioni vijana wamepoa ukumbini kama wameingia bakurutu [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu unapajua bakurutu!
 
Yani tuzo zimepoa hata msiba wa ruge ulichangamka

Hivi nani anaweka viongozi local hivyo BASATA
 
Wamemtrick Tu maana kajitoa wameamua kumpa kishika uchumba ili next year aiingize WCB
Kuingiza sio shida watafanyia kazi malalamiko yake kwanza Cha kwanza diamond alidai kutopewa mrabaha na akaongeza zaidi system nzima ya ukusanyanyi miraba ujakaa vizuri na alitajihidi kuulizia inakuaje hawakumpa majibu yakuridhisha

2. Jambo la pili alihoji utaratibu mzima wa kupata nominees alishangazwa na utaratibu wa msanii kuomba kwa barua kuingizwa kwenye categories anayotaka
 
Wayu wamekaa kama Wana gaiwa mitihani ya mathe

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]cocastic

Mbavu zangu[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]cocastic

Mbavu zangu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie mbavu zangu, khaaah nacheka km chizi hapa lol.
 
Back
Top Bottom