Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
- Thread starter
- #101
Hivi inashindikana nini kwenye maandalizi wakaajili wawe wa aajili watu wawili watatu toka kwenye watu walio katika kamati za tuzo kubwa kama BET ama MTV waje washiriki katika kamati zao za maandalizi kupata uzoefu mpya
Kwa madhaifu mengi ya leo hayahitaji mtu wa BET au MTV, wangejifunza kupitia kili music awards na event organizers wengine wanaofanya vizuri Tz