Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kapoa sana,

halafu huyu mchekeshaji hovyoooo
Kuwa na subra, wachekeshaji wanasema ukiona vichekesho vyao havikuchekeshi bhasi level ya stress zako ni kubwa kuliko vichekesho vyao 😄😄
 
Kuwa na subra, wachekeshaji wanasema ukiona vichekesho vyapaka havikuchekeshi bhasi level ya stress zako ni kubwa kuliko vichekesho vyao [emoji1][emoji1]
Mmmmh hajanitekenya bado,ananichefua tu
 
Sijamuelewa aisee huyo mchekeshaji.. hawa jamaa wamewaza nini..
Event kubwa kama hii alaf hawa ndo performers [emoji1][emoji1]
Ila peformance wamezingua, hamna amsha amsha
 
Sijamuelewa aisee huyo mchekeshaji.. hawa jamaa wamewaza nini..
Event kubwa kama hii alaf hawa ndo performers [emoji1][emoji1]
Aibu nimeona mimi[emoji41]

Naona anajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe,hovyoooooo
 
Loyalty ikikosa Tuzo ntaumia, my best collabo 😭
 
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My best song, japo wamepuyanga sehemu nyingi ila hapa wamenifurahisha
 
Best male performer of the year..
Kadediketi Tuzo kwa frida kajala

"Please babe take me back" [emoji1][emoji1]

Rudi kundini kumeanza kuchangamka, wakiweka peformance nzuri itapendeza zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila konde jaman khaaaaj
 
Sijamuelewa aisee huyo mchekeshaji.. hawa jamaa wamewaza nini..
Event kubwa kama hii alaf hawa ndo performers [emoji1][emoji1]
Alafu usipocheka huwa wanang'ang'aniza kwamba unakaza kumbe mtu unabaki unashangaa
 
Professor jay kapewa Tuzo ya ushairi kwa wimbo wa utaniambia nini...
A very hard category ila nilihisi watampa
 
Back
Top Bottom