Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Serikali haijawahi kufanya kitu kwa weledi. Wameleta mchekeshaji sijui wa wapi? yule hatakiwi ata kulipwa. Tena ikibidi yeye ndiye aliipe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mchekeshaji wa hovyooooo
 
Mfyuuuuuuu eti harmo[emoji846],linyimbo libaya mikelele tu
 
Back
Top Bottom