Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Ila hizj hazikua tuzo bali kampeni, Hadi Leo sijui hofu ya nn?
 
Naona wanatoa Tuzo ya video vixen lakini kwenye kutaja nominees hakuna hata picha zinazooneshwa
 
Diamond na Ruge wanastahili wameibadili music wa bongofleva.
 
Wanastahili lakini Tuzo ya Hall of fame ingetolewa kwa mtu mmoja ingependeza. Kutoa kwa watu watatu inakuwa sio vizuri hasa kwenye kumpa uzito mpokeaji
Kuhusu mpangilio usitegemee lolote kwenye hizi tuzo, kwanza mpaka Venance Mabeyo kapata tuzo. Hizi tuzo wanazizika leo leo.
 
Kuhusu mpangilio usitegemee lolote kwenye hizi tuzo, kwanza mpaka Venance Mabeyo kapata tuzo. Hizi tuzo wanazizika leo leo.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ila hapo kwa mabeyo nilishtuka. Ila kwa maneno ya mtandaoni pengine waandaaji watajua ni nini watu wanahitaji
 
Kuhusu mpangilio usitegemee lolote kwenye hizi tuzo, kwanza mpaka Venance Mabeyo kapata tuzo. Hizi tuzo wanazizika leo leo.
HIZI TUZO NI UTUMBO MTUPU, KUNA MSANII UCHWARA ETI KAENDA NA MSAFARA NA SUTI MBAYAAAA YANI KAMA LILE SANAMU LA MICHELIN๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wapangiliaji wa peformance wamejua kukomesha raia ukumbini, hadi muda huu hamna amshaamsha daah
 
Wapangiliaji wa peformance wamejua kukomesha raia ukumbini, hadi muda huu hamna amshaamsha daah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimeangalia kidogo vimenishinda nikaona Bora niende kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ