betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 140
- 252
Na je ni kweli process ya kutolewa bikra inauma sana kupita maelezo? Na ni kweli mwanamke daima hawezi kumsahau aliembikiri hata akiolewaAlikua high school sweetheart wangu, tulipendana ile ya kitoto toto, ilikua mara ya kwanza kwake na kwangu kudinyana.
Ulishawahi kusikia bikra anamtoa mwenzake bikra? ilikua ni shoo ya hovyo sana na ilituchukua siku 3 mpaka ukuni wake ukafanikiwa kuingia ππ
OkSio tu kibongobongo, hata huko abroad mlipo. Excessive drinking inaashiria mambo hayako sawa. Tena wenzetu wanafanyiwa counselling kabisa.
Binafsi, huwa naona mtu anakuwa ametumika kama alichotarajia kukipata hakijatimia. Mfano, Binti wa zamani akimpa mbususu Ngalikihinja kwa matarajio ya kuolewa naye, na ndoa isitokee, hapo Binti wa zamani atakuwa ametumika. Lakini wakati huohuo, Ngalikihinja kumpa hela Binti wa zamani ili apate mbususu na akaipata, anakuwa hajachezewa, maana lengo limetimia.Mallerina njoo ujibu hili.
Ila inawezekana kua; kimwili, kiuchumi, kihisia au kumpotezea muda ukijua huna malengo naye.
Hahahaha umejipakua minyama bwasheeBinafsi, huwa naona mtu anakuwa ametumika kama alichotarajia kukipata hakijatimia. Mfano, Binti wa zamani akimpa mbususu Ngalikihinja kwa matarajio ya kuolewa naye, na ndoa isitokee, hapo Binti wa zamani atakuwa ametumika. Lakini wakati huohuo, Ngalikihinja kumpa hela Binti wa zamani ili apate mbususu na akaipata, anakuwa hajachezewa, maana lengo limetimia.
Minyama ya mfano ili nieleweke vizuri na kila rikaHahahaha umejipakua minyama bwashee
Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!
Mimi naanza na hawa;
Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?
cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?
Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?
min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?
dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?
onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?
Lamomy - tukio gani ushawahi
Tight hug...lean my head on his chest. Anibembeleze like a baby...akiniambia maneno matamu...like I am the most beautiful woman he has never seen. He can't let me go. Never hata iweje πUna swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!
Mimi naanza na hawa;
Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?
cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?
Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?
min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?
dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?
onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?
Lamomy - tukio gani ushawahi kumpiga mtu akabaki na butwaa haamini?
Harmful , makaveli10 lini ni mara ya mwisho umemwaga zigo na ulifanya nini kuhakikisha mwenzako naye kamwaga?
Umemaanisha nini kaka Penda??Duuuh! You're lost golden!
Punguza kuangalia movie πTight hug...lean my head on his chest. Anibembeleze like a baby...akiniambia maneno matamu...like I am the most beautiful woman he has never seen. He can't let me go. Never hata iweje π
Basi hapo aaahhh najiona namiminiwa mahaba telee hata kama nadanganywa π
Mbona wewe mwenye swali hukumtag ππ au ID yake huijui?Mbona umetoa pasi, SI umesema maswali ya kizushi mtag aje ajibu mwenyewe π€£π€£
Ila we mpare ππ ?Mm tangu nazaliwa mpaka sasa cjawah kulombana zaidi y kupiga nyeto tuu, yenyewe hapa napoandika comment hii mkono umejaa watoto π
Sawa, nafurahi kusikia hivyo!Nimepona kipenzi, nilitumia Ile dawa uliyoniambia
Mpwa una nini lakini π π π ?Sina swali la kizushi ila nilitaka kusema mara ya kwanza kuona kinembe nilijua ni kidonda!
Vyote, binafs nataka kusikia raha na kupata utamu wa maisha as much as inawezekana.π kwenye kila kitu
Ulijitahd kujitunza...Mwaka siwezi kusema, nilikua na miaka 21, chuo kikuu mwaka wa kwanza, jijini Dar!
Nilivaa nikamhurumia sana, nikajisema hii yutiyai noma nisijue ndipo utamu ulipojificha!Haya ulikifanyaje kidonda baada ya kukiona?
Wazinzi huwa hawaharibu, wanachangamsha tu.NYUZI ZA HIVI ZINATEMBEAA BALAA BALAA, lkn wazinzi wameshauharibu uzi umekuwa wao I'm sureπ