King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Yatapotezwa na wao vilevile.Kazi chafu huishia kwa uchafu pia kupoteza ushahidi.
Ukifuatilia kwa undani magenge ya watekaji enzi za jiwe yalivyokuwa "dissolved" utajua na hao vidampa wa kazi chafu wakishamaliza kazi huwa nini kinafuatia.
Abduction= Abdul in actionπ¨βΌοΈABDUCTION IN NAIROBIβΌοΈ
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
Taarifa kwa kina zinafuatia
Samuya ni noma aisee, pesa inatumika nyingi mnoo kikosi kazi cha utekaji!.Hadi nje ya border sio safe
Sasa twende wapi mkuu?Bongo nako sio salama. Refer polepole, mdude na Nchimbi
Kama ulifatilia maelezo ya Maria baada ya kusalimika..huwezi kuleta huu mfano, yeye mwenyewe Maria alisema alifikiwa baada ya watu asiowadhania kutoa details zake kwa watekaji..Kwani Maria alitekwa akiwa wapi? Si Nairobi. Ina maana Hawa watekaji wabongo Wana access na Nairobi. Kuanza kumlaumu Pambalu sio haki. Huyo Maria bika kelele za wakenya angekuwa ameshauawa au kuwa deported.
Watanzania tumezidi kwa uoga. Mimi nikiwa kwenye gari halafu mazafakas wakabloki gari yangu, siku hiyo ndiyo mwisho wa maisha yangu au yao. Iβll weaponize my vehicle na kusababisha balaa lisilo la kitoto!π¨βΌοΈABDUCTION IN NAIROBIβΌοΈ
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
..ujinga unao wewe sabb akili yako inawaza km kifaranga cha kuku.Mmeanza lawama za kijinga. Yani nyie wanaoonewa ndio mnawashambulia. Wewe umeambiwa huyo Twaha amekuwa anatafutwa kwa muda mrefu, wewe unaanza kuongelea mambo ya Pambalu.
MhhhUkweli mpaka sasa hakuna iyo taarifa rasmi zaidi
ya radio π» mbao π³
sio kenya tu Africa yote haipo salama kwa wapinzani..Ila watu niliwaonya kuwa hapo Kenya sio salama hata kidogo kwa wanaharakati lakini baadhi ya mapimbi yakanibishia.
Huenda ndo erythrocytesHalafu ni mwana JF mwenzetu
Kwani mi mwana CCM?πππUnafurahia binadamu mwenzako kuonewa kisa sio mwana CCM .