Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Qma yako we chawa usiye na akili
Unadhani huyo mamako kilaza anavyoteka wakosoaji ndio watz walio wengi watampenda na kumkubali??
Kosoa kwa staha na utaratibu..mbona Manyika anakosa nk ila yupo huru? Mfano wewe hapo umeandika matusi alafu unataka uvumiliwe unaona hii ni sawa kabisa?
 
Mkuu kama ww ni kapuku achana na hizo mambo.... unafanyia harakati Kenya!??!?
Shauri yako...
Utaishi ka DigiDigi....
😅😅😅
Mimi nafanya harakati za nini? Ninajaribu kuwaambia ukweli. Haya mnayoyafanya sasa hata akina Adolf Hitler, Bennito Musolini, Idd Amin Dada, Muammar Gaddaf, Saddam Hussein, na wengineo wengi waliyafanya kitambo tu.

Leo hii kiko wapi?
 
Sawa Banaa...
 
Ni bora apatikane sasa maana unaweza kukuta hayupo hai hivi sasa
 
Kosoa kwa staha na utaratibu..mbona Manyika anakosa nk ila yupo huru? Mfano wewe hapo umeandika matusi alafu unataka uvumiliwe unaona hii ni sawa kabisa?
Ni suala la muda tu,kama Nchimbi alitukana?Polepole alitukana?Mbowe je?Lissu kumiminiwa risasi,alitukana?Mzee kibao alimtukana nani?
Muelekeze tu atumie lugha ya staha lakini usiingize mifano isiyo na uhalisia!
 
25 October 2026

Twaha Mwaipaya Snatched in Broad Daylight Near Nairobi: Armed Men Bundle Activist Into Land Cruiser​

View: https://m.youtube.com/watch?v=_0QaYIdWcyo
Tanzanian activist and CHADEMA youth mobilizer Twaha Mwaipaya has been abducted near Nairobi.

On Sunday, October 25, 2026, around 2 p.m., armed men in plain clothes reportedly intercepted his taxi in Kamulu, Machakos County, and drove off in a white Land Cruiser Hardtop.

Twaha Mwaipaya had fled to Kenya after being abducted and tortured in Tanzania. Now Kenya, his place of refuge, has become the scene of his disappearance.

In this video: who Mwaipaya is, how the abduction unfolded, the 98% election that set off a bloodbath, the treason charges hanging over CHADEMA's leaders, Maria Sarungi Tsehai's chilling warning, and the big question: is Kenya becoming a hunting ground for East Africa's exiles?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…