Duh aiseeh kwahiyo unaona sawa watu kuuawa vile. Na vipi kuhusu matokeo ya uongo kwenye uchaguzi mkuu unaona vyote hivo sawaHalafu ikwaje? Mlikinukisha? Na anayelialia kuwa nguvu kubwa ilitumika nani? Ahahahahaha!
Jaribuni tena muone kama hata majivu yataonekana!
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Sema nikivunja sheria za nchi na kukamatwa kwa utaratibu stahikiSiku nikiikosea Serikali na nchi yangu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, USINIHURUMIE nitakapoadhibiwa!
Yalikuwa dissolved? SijaelewaKazi chafu huishia kwa uchafu pia kupoteza ushahidi.
Ukifuatilia kwa undani magenge ya watekaji enzi za jiwe yalivyokuwa "dissolved" utajua na hao vidampa wa kazi chafu wakishamaliza kazi huwa nini kinafuatia.
Huyo shoga asikusumbue mkuu. Huyo Yuko tayari hata kufirwa kwa ajili ya cccmHakuna jema linalotegemewa kutoka kinywani mwa mfuasi wa ibilisi shetani wa kiwango cha mtu kama Mwashambwa!! Mwashambwa anazidi kudhihirisha kuwa nafsi yake ni makao ya shetani. Lakini kwa wakati ulio sahihi MUNGU WA HAKI atamdhihirishia kuwa shetani anayemwabudu na kumtumainia si chochote mbele ya Mungu, ndipo atalia na kusaga meno.
As i told you last time! Don't trust.Nchi yetu imekuwa kama kitu cha kuchezea, kila mtu anafanya anavyotaka
Inasikitisha sana
Sasa watekaji wamefika kimataifa
Inasikitisha
Mimi nipo salama, rafiki yangu, sijadhurika❤️
Sina madhara hata hivyo
Hawa wana deal na watu wenye ushawishi ujueAs i told you last time! Don't trust.
Hali ni mbaya watanganyika tunawindana wenyewe kwa wenyewe.
Pesa, mali na madaraka zidi ya maisha ya raia wema walioamua kusema kweli yao
Usalama wa abira wangu ni muhu kuliko kitu chochoteHawa wana deal na watu wenye ushawishi ujue
Asante kwa kujali rafiki yangu🤗
Uwongo mtupuWe were a country that was a safe heaven for ather nations.
But as of now everything has vanished and we have turned into refugees in foreign countries and still we pursue each other even there.
We are no longer safe.
Cc ShesRise_1 hope you are safe
Nzuri hii 🔥Usalama wa abira wangu ni muhu kuliko kitu chochote
Kudhihirisha kwamba bado hatuko pamoja na woga umetuzidi. HAKUNA HATA CHOMBO KIMOJA CHA HABARI KIMELIELEZEA HILI TUKIO! ZAIDI YA SISI MITANDAONI!🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
Hayo matokeo ya uongo uliyafanyia forensic fraud ukagundua ya uongo?Duh aiseeh kwahiyo unaona sawa watu kuuawa vile. Na vipi kuhusu matokeo ya uongo kwenye uchaguzi mkuu unaona vyote hivo sawa
Kila mtu anakamatwa kwa utaratibu stahiki. Kelele za watu waovu haziwezi kuizuia Serikali kufanya kazi yake.Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Sema nikivunja sheria za nchi na kukamatwa kwa utaratibu stahiki
Akati watu wanapotea hawaonekani tena hatusikii wamepelekwa mahakamani hatusikii wamefungwa. Polepole yuko wapi.Kila mtu anakamatwa kwa utaratibu stahiki. Kelele za watu waovu haziwezi kuizuia Serikali kufanya kazi yake.
Kwa hiyo wewe unaamini watu milioni 32 walipiga kura nchi yenyewe ilikuwa ina watu milioni sitini na hapo milion thelathini ni watoto sasa hao milioni thelathini wanatoka wapi. Mahaba yamezidi umekataa kabisa hata kuwa mkweli, umekataa hata kuwa na hurumaHayo matokeo ya uongo uliyafanyia forensic fraud ukagundua ya uongo?
It is safe because Ina Katiba Mpya 😂😂Huwa najiuliza sana kwanini activists, wanafikiri au kuichukulia Kenya kama sehemu salama "safe haven"??
How safe is Kenya?
ni kadogo sana? Msipende sana wenzenu waishilie kusikojulikana, hao ni kama ninyi tu, acheni siasa za kishambaKakamatwe ikiwezekana kasionekane Milele
Mbona hata ccm wanatekwa au kubambikiwa kesi wakitofautiana mawazo???Ndio siasa za ccm na MWENYEKITI wake zilipotufikisha.
Sasa Kuna haja gani ya kuwa na chama vya upinzani?
Kwanini msiifute chadema tukajua Moja kuwa haipo
Waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 37, unashangaa nini watu milioni 32 kupiga kura? Mbona hushangai waliojiandikisha?Kwa hiyo wewe unaamini watu milioni 32 walipiga kura nchi yenyewe ilikuwa ina watu milioni sitini na hapo milion thelathini ni watoto sasa hao milioni thelathini wanatoka wapi. Mahaba yamezidi umekataa kabisa hata kuwa mkweli, umekataa hata kuwa na huruma