Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
Tanzania ya sasa tuko zaidi ya milioni 70.Kwa hiyo wewe unaamini watu milioni 32 walipiga kura nchi yenyewe ilikuwa ina watu milioni sitini na hapo milion thelathini ni watoto sasa hao milioni thelathini wanatoka wapi. Mahaba yamezidi umekataa kabisa hata kuwa mkweli, umekataa hata kuwa na huruma
Sawa MWENYEKITI wenu ataishi milele.binafsi nimemuachia mungu .Mbona hata ccm wanatekwa au kubambikiwa kesi wakitofautiana mawazo???
Suluhisho sio kufuta upinzani bali mawazo kinzani ili woote tumtii mwenye kiti kwa kila atakalo
TWAHA sasahivi tundu la kinyesi limeshakuwa pana kama kisadoliniSamia anazidi kuwalazimsha Chadema waende kwenye meza ya mazungumzo.
Inabidi sasa hawa jamaa wafanye wawezalo waende balozi za nchi za ulaya zilizopo Dsm wakapewe hifadhi, wasiende tena huko nje.
ikilazimu wasafirishwe kwenda nje wakiwa na escort ya wazungu kama ilivyokuwa kwa Lissu.
Twaha nae anaweza kupewa kesi ya uhaini, jamaa watafanya kila wanachotaka huku tukiendelea kuwatazama tu na kulia mitandaoni.
Ina maana raia waliokuwa karibu hawakufanya chochote hata kupiga kelele?na hiyo gari iliyomteka walishindwa kabisa kuirekodi?
ENHEEE ENHEEE ENHEEEE HUYU SI NDO KIONGOZI WA KUKWEPA KUTEKWA NA MWALIMU WA KUKWEPA KUTEKWA ?🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
Mwachie mungu afadhali maana hawa wahuni walizidi mitandaoni wanashawishi watoto wa wenzao wakajitoe mhanga njoja waanze waoSawa MWENYEKITI wenu ataishi milele.binafsi nimemuachia mungu .
Si wanaua kisa siasa?sawaa
Hata kama, matokeo yaliyotangazwa siyo ya kweli. Fanya utafiti mdogo utaniambiaWaliojiandikisha kupiga kura ni milioni 37, unashangaa nini watu milioni 32 kupiga kura? Mbona hushangai waliojiandikisha?
Wana haki ya kufanya siasa, wamejitoa mhanga kwa kazi njema.Mwachie mungu afadhali maana hawa wahuni walizidi mitandaoni wanashawishi watoto wa wenzao wakajitoe mhanga njoja waanze wao
Kama unashangilia na kufurahi watu kutekwa na kuuliwa.basi utakuwa AKILI HAUNA.Mwachie mungu afadhali maana hawa wahuni walizidi mitandaoni wanashawishi watoto wa wenzao wakajitoe mhanga njoja waanze wao
wamepita kama wachochezi watakavyopita tu , hatuna nchi nyingine ya kuwekeza zaidi ya hii Tanzania tuchocheane tuwe kama Suda au Libya shenzi kabisa bora mandefu na mdude nyagali wameshanyakuliwa na hawatasikika tena wakichochea wenzaoKama unashangilia na kufurahi watu kutekwa na kuuliwa.basi utakuwa AKILI HAUNA.
Utawala na UONGOZI vinapita.kuna maisha baada ya kutoka polisi,au usalama au hata huo urais.walikuwepo watawala makatili Leo wapo wapi?
hawafanyi siasa wanachochea watuWana haki ya kufanya siasa, wamejitoa mhanga kwa kazi njema.
Wanadhulumiwa na serikali isiyo halali.
HAtuwezi tupo kwenys usingizi mziito, wa nusu kaputiWatanganyika tuamke
kwani umelala ndugu? waache kuchochea watoto wa wenzao, na wachochezi wote wapo nje ya nchiWatanganyika tuamke
Twaha saahizi hana marinda wala macho mapumbu yalishapasuka muda mrefu enheee enheeeee enheee na meno yote nje bila ganziSamia anazidi kuwalazimsha Chadema waende kwenye meza ya mazungumzo.
Inabidi sasa hawa jamaa wafanye wawezalo waende balozi za nchi za ulaya zilizopo Dsm wakapewe hifadhi, wasiende tena huko nje.
ikilazimu wasafirishwe kwenda nje wakiwa na escort ya wazungu kama ilivyokuwa kwa Lissu.
Twaha nae anaweza kupewa kesi ya uhaini, jamaa watafanya kila wanachotaka huku tukiendelea kuwatazama tu na kulia mitandaoni.
Ina maana raia waliokuwa karibu hawakufanya chochote hata kupiga kelele?na hiyo gari iliyomteka walishindwa kabisa kuirekodi?
Ngoja yamkumbe! Kina Polepole, Nchimbi nk nk wameelewa kuhusu hawa MASHETANI!Kama unashangilia na kufurahi watu kutekwa na kuuliwa.basi utakuwa AKILI HAUNA.
Utawala na UONGOZI vinapita.kuna maisha baada ya kutoka polisi,au usalama au hata huo urais.walikuwepo watawala makatili Leo wapo wapi?
Kenya sio salama kwa wakosoaji. Ondokeni huko hakufai🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️