mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Safi endeeleni kufanya ukatili.haya huyu aongeze ukatili azidi kuteka na kuua.Baada ya huyu mama, huyo atakaekuja ndio atakuwa katili zaidi, sasa sijui utakunywa sumu? vipi magufuli ulimpenda alivyomtandika tundu lisu risasi?
Mungu aliona mbali kuweka siku ya hukumu.What's your point? Kwamba kwasababu hawa ni watemi watakufa tu. Si ndio? Haya. LISSU unayempenda akiwa Rais yeye HATAKUFA?
Kwani ni nani atakayemchagua huyo atakayekuja au mchakato wa uchaguzi umefutwaBaada ya huyu mama, huyo atakaekuja ndio atakuwa katili zaidi, sasa sijui utakunywa sumu? vipi magufuli ulimpenda alivyomtandika tundu lisu risasi?
hana macho mida hiii safi sana🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?Ila watu niliwaonya kuwa hapo Kenya sio salama hata kidogo kwa wanaharakati lakini baadhi ya mapimbi yakanibishia.
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?Serikali ya Kenya nao ni wahuni walio changamka walishilikiana na Uganda kumteka Kiza Besije na kumrudisha Uganda mpaka sasa yupo anateseka jera.
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?Matapeli sana hao jamaa. Njaa imewaelemea wanataka kutengeneza sinema za kujipatia pesa
Si aliambiwa wakija kwako watie bakora na wakija kwangu nitawati bakoraMh Ruto Ruto Ruto nimekuita Mara 3
Tutaigeuza Nairobi majivu endeleeni tu kushirikiana na madicteta
Ilo ndio lilikuleta dar juzi ukitokea Zimbabwe ?
Endeleeni kuchochea moto mtakipata mnachokitaka.
safi sana wakifanya hivi Afrika itakuwa sehemu salama sanaSi aliambiwa wakija kwako watie bakora na wakija kwangu nitawati bakora
Asiyekanywa na mamaye hukanywa na ulimwengu. Vijana wetu wengi wamekosa radhi za wazazi wao. Hawataki kuwasikiliza wazazi wao hasa mama zao kile wanachowaonya wasifanye. Wanawadharau mama zao wakidhani hawajui kitu na wamepitwa na wakati. Wanataka maisha mazuri ya harakaharaka.🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
utaenda wapi ambako CCM haipo? Msikilize mama yake anakuonya mambo gani, usimdharau hata kidogo. Akina Nyerere wale walifanikiwa kwasababu walikuwa na baraka za wazazi wao kwenye harakati zao. Vijana wa sasa wanaendeshwa na bangi na tamaa ya mali bila kwenda pamoja na wazazi wao.Ila watu niliwaonya kuwa hapo Kenya sio salama hata kidogo kwa wanaharakati lakini baadhi ya mapimbi yakanibishia.
scratch my back.....Si aliambiwa wakija kwako watie bakora na wakija kwangu nitawati bakora
Mwisho wake 2030 anamaliza muda wake linakuja zimwi lingine hatari zaidi, Makonda. Kama Wareno, makaburu, Amini na Gadaffi walishindwa hata nyie mtasambaratishwa tu mkiwa mnaona. No safe zone for you. Ni swala la muda tu.Safi endeeleni kufanya ukatili.haya huyu aongeze ukatili azidi kuteka na kuua.
Tutamuangalia tu.si ameamua kuwa katili.
Ila kila kitu Kuna mwisho.
Kama siasa za ccm Sasa hivi ni za damu Haina shida.
Mmeshindwa kuwapakata wasomali wa alshababu kila sku wanawapiga tukio mtapakata nanTulia fisi wewe
Unaijua Kenya wewe au unataka kupakatwa
😀😀😀.hyo unaona ni sifa kuuliwa na kutekwa wapinzani.Mwisho wake 2030 anamaliza muda wake linakuja zimwi lingine hatari zaidi, Makonda. Kama Wareno, makaburu, Amini na Gadaffi walishindwa hata nyie mtasambaratishwa tu mkiwa mnaona. No safe zone for you. Ni swala la muda tu.
Tanzania is the Geneva of Africa, dunia yote inatambua hivyo. The only safe country in Africa ambayo kila mtu mfanyabiashara, mtalii, mkimbizi, mchezaji, msanii anataka kuja na kukaa, tusiichafue maana haichafuki.
Kanuni ni moja tu kaka, heshimu mamlaka. Hata Mitume wengi walikufa kwa kudharau mamlaka. Yesu kawambwa kwenye mti kwa kukaidi mamlaka.Mungu aliona mbali kuweka siku ya hukumu.
Hauwezi kuuwa wenzako alafu uachwe hivi hivi siku yako ipo.
Kila mtu atakufa.
Ndo maana tunatakiwa tuishi Kwa wema.
Hakuna sababu yoyote ya kumuua mtu kisa yeye ni upande mwingine wa chama.
Mama Samuya na genge lake la usafirishaji silaha na dawa za kulevya ametanua wigo wa utekaji hadi ukanda wa EAC. Hakuna atakayebaki salama.🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
Kwani Twaha amemkosea mama ake mbona sielewiAsiyekanywa na mamaye hukanywa na ulimwengu. Vijana wetu wengi wamekosa radhi za wazazi wao. Hawataki kuwasikiliza wazazi wao hasa mama zao kile wanachowaonya wasifanye. Wanawadharau mama zao wakidhani hawajui kitu na wamepitwa na wakati. Wanataka maisha mazuri ya harakaharaka.
Kama ukifanya jambo lisilo na baraka ya wazazi hutoboi.
Alifufuka siku ya tatu. Mungu alimfufua siku ya tatu.Kanuni ni moja tu kaka, heshimu mamlaka. Hata Mitume wengi walikufa kwa kudharau mamlaka. Yesu kawambwa kwenye mti kwa kukaidi mamlaka.
Ukikaidi mamlaka maana yake unajianda kukabiliana na ile kanuni kuu kutoka kwa Mungu ya survival of the fittest. Are you fit enough to defeat your opponent?