Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Mushi hata hakua threat kiivo sijui kwanini waliamua kumuadhibu vibaya vile, jamaa aliumwa muda mrefu alijua sababu lakini alikua anakanusha mara kwa mara.
 
Mh Ruto Ruto Ruto nimekuita Mara 3

Tutaigeuza Nairobi majivu endeleeni tu kushirikiana na madicteta

Ilo ndio lilikuleta dar juzi ukitokea Zimbabwe ?

Endeleeni kuchochea moto mtakipata mnachokitaka.
Thubutu yako, wewe ndiyo utageuka mavumbi
 

Hiki kijamaa ni kijinga sana kiko proud hapa kinajisifu hadi kinasema kinatamani kumfira Hilda Newton .

Hawa washenzi wenye fikra za kipuuzi ndio hutumika kama toilet paper za watawala dhalimu badala ya kupambana nchi ing'are kwa mazuri kimataifa wao wako busy kuwinda watu nje ya mipaka ya nchi tena waliokimbia kunusuru maisha yao.

Kama hao wanaowindwa wana makosa , mahakama si zipo , kuna interpol kwanini wasifanye due process hao watu wawe extradited kwenda kusomewa mashtaka badala ya kuwawinda .

Sasa wakiwakamata na kuwafira watu ndio nchi inapata maji ya uhakika?
 
Mh Ruto Ruto Ruto nimekuita Mara 3

Tutaigeuza Nairobi majivu endeleeni tu kushirikiana na madicteta

Ilo ndio lilikuleta dar juzi ukitokea Zimbabwe ?

Endeleeni kuchochea moto mtakipata mnachokitaka.
Alivyokuwa anatukana watu hakuja yupo karibu anajificha kwenye majani ya karanga .yako wapi

USSR
 
Gentlemen mbona mnapenda kuibebesha serikali mizigo kwahiyo kila raia aliyepo nje anayetekwa katekwa na serikali? 🐒

Nikuulize swali tu la ufahamu, Osama bin Laden alikua anatafutwa na nchi gani akiwa mafichoni.

Na nchi gani iliyofanikiwa kumuua baada ya kumsaka.

Make it make sense.
 
Mama ametufikia mbaka Nairobi. Mama anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…