da!! hii nchi sijawahi kuona rais ata mmoja akifurahiwa,ni mpaka afe,,nyerere walimwta dikteta,mwinyi wakamwita mzee rksa{yaani kwamab aliruhusu mpaka mabo ya hovyo],,,mkapa wakamwita mzee ukapa{kwamba alibana kila ki2],,,,kikwete wakamwita mpgaji,magufuli wakamwita dikteata,,,hay a mama wanamwita mkopaji,,,,da!!!lakinisijawahi ona marehemu akisemwa vibya!!View attachment 2951437
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.
Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Anafanya makubwa sana aisee ,hakuna Rais anakimbiza kwenye sekta zote za Uchumi kushinda Samia.
Kwani kukopa Kuna tatizo? Kwani pesa zilizokopwa zimeingia kweymfuoo binafsi wa Samia au zimeenda kufanya kazi ya Nchi?View attachment 2951437
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.
Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Duuu, halafu kiachouma zaidi, mikopo yote imeenda ZanzibarView attachment 2951437
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.
Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Kwa hiyo tutapigwa mnada. Ngoja waje wachambuzi 😆View attachment 2951437
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.
Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Tatizo ni kwamba mtu anasifia kabla ya kupiga mahesabu. Please! Try to analyse before you speakView attachment 2951437
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.
Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Adhibitiwe!!niseme 10 x 10= 100 Trillion sh.
Yapi hayo
View attachment 2951437
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.
Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Hebu iweke hivi "WATU DHAIFU HUPENDA KUSIFIWA SANA"WATU DHAIFU HUSIFIWA SANA!