Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163

Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.

Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
 
View attachment 2951437

da!! hii nchi sijawahi kuona rais ata mmoja akifurahiwa,ni mpaka afe,,nyerere walimwta dikteta,mwinyi wakamwita mzee rksa{yaani kwamab aliruhusu mpaka mabo ya hovyo],,,mkapa wakamwita mzee ukapa{kwamba alibana kila ki2],,,,kikwete wakamwita mpgaji,magufuli wakamwita dikteata,,,hay a mama wanamwita mkopaji,,,,da!!!lakinisijawahi ona marehemu akisemwa vibya!!
 
Kwanza kabisa tunaendelea kumshukuru Mhe. Rais kwa kukopa zaidi ya watangulizi wake wote. Hakika anaupiga mwingi. Nani kama mama?
 
View attachment 2951437

Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.

Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Kwani kukopa Kuna tatizo? Kwani pesa zilizokopwa zimeingia kweymfuoo binafsi wa Samia au zimeenda kufanya kazi ya Nchi?

Tanzania sie ni wajinga sana badala ya kutumia fursa ya kukopesheka kwa kukopa na kuifungua Nchi sisi tunashanhilia tuliambiwa tuna deni dogo huku miundombinu ya uchumi ikiendelea kuwa hoi na kuzidisha umaskini wa Mali na akili.
 
View attachment 2951437

Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.

Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Duuu, halafu kiachouma zaidi, mikopo yote imeenda Zanzibar
 
View attachment 2951437

Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.

Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Kwa hiyo tutapigwa mnada. Ngoja waje wachambuzi 😆
 
View attachment 2951437

Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.

Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.
Tatizo ni kwamba mtu anasifia kabla ya kupiga mahesabu. Please! Try to analyse before you speak
 
Diwani wa Kata ya Olektore, Tarafa ya Ngorongoro, James Moringe amedai aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Richard Rwanyakaato Kiiza alitumia Tsh. Milioni 400 ndani ya Miezi mitatu ikiwa ni gharama ya Hoteli huku akikataa kuishi katika Nyumba aliyotengewa Moringe amedai Kiiza ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo na Rais #SamiaSuluhuHassan (Machi 15, 2024) alikuwa akilipa Tsh. Milioni 3.2 kama gharama ya Hoteli kwa Siku Soma jamii.app/TuhumaNgorongo… #JFUwajibikaji #Governance #JamiiForums #Accountability
 
View attachment 2951437

Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.

Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.

Allah amjaalie kheri mama samia, amuepushe na watu wabaya, wenye chuki nae
 
Back
Top Bottom