runtown
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 844
- 1,163
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila mwaka.
Huyu ukimpatia miaka 10 mingine, nchi inaweza kupigwa mnada kama alivyosema Spika mstaafu Ndugai.