Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Status
Not open for further replies.
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.
Ndoa hii ni ya wake watau tayari, ila huyu wa tatu amefichwa nyumba kubwa. Matatizo yapo kwa sababu ya kufichwa huku. Inabidi aibuliwe na isemwe wazi kuwa yupo, na atambuliwe ili kuondoa hisia mbaya na huyu mume atimize wajibu wake kwa usawa!
 
Kwani muungano hauvunjiki?

Serikali 3 zitavunja muungano na tanganyika yetu itarudi
mnakomalia muungano wenye matobo matobo wa nini?

Siku muungano ukivunjika nita fanya sherehe
 

Hivyo wewe unadhani ni mzima kweli. Bado unahitaji psychologist. Kumlaumu mtu kwa mawazo yake tena kwenye TWITTER nina mashaka na uelewa wako; period
 
Warioba , kaenda kuwasilisha maoni ya wananchi , sasa wale wanaomlaumu mlitaka awasilishe maoni yenu ninyi viongozi pekee? Kwanini mnamsingizia Warioba ? Au haitaki mawazo ya wananchi ambao kutwa kuchwa mnadai kuwawakilisha ?
 

Daah, una akili nyingi weweeh! hasa apo uliposema mtu akiwa c....c...m uwezo WA kufikiri unafifia sanaaaaaa!!!!!
tehtetehh, tatzo la akili za matumbo na kuiba tuuu!
 
Kwani muungano hauvunjiki?

Serikali 3 zitavunja muungano na tanganyika yetu itarudi
mnakomalia muungano wenye matobo matobo wa nini?

Siku muungano ukivunjika nita fanya sherehe

Hujamuelewa mtoa mada...Msome tena huku ukiwa umetulia...Wacha papara..
 
Anwary ni mjinga , kama a nafikiri wingi ni silaha. Ghadafi asingeondoka madarakani, kama a nafikiri namba ni kila kitu hata hii katiba was ingekuwa wanajadiliana leo......wanatumia namba kwenye ukumbi watakosa namba nje ya ukumbi....
 

haswaa mzee msema kweli
 
Warioba , kaenda kuwasilisha maoni ya wananchi , sasa wale wanaomlaumu mlitaka awasilishe maoni yenu ninyi viongozi pekee? Kwanini mnamsingizia Warioba ? Au haitaki mawazo ya wananchi ambao kutwa kuchwa mnadai kuwawakilisha ?

Tumuulize Zitto hili swali..
 
Rightly So...., una haki ya kuongelea na ku-challenge kila kitu ila kumuita mtu msaliti na coward sababu mawazo yake, yanayokukera ni kuingilia uhuru wa mawazo ya mtu

Vijana wengi hawafahamu matumizi sahihi ya open forums au public forums.....Imebaki matusi,kejeli na mizaha. Kutokukubaliana na maoni ya mtu hakumfanyi aliyetoa maoni kuwa ni msaliti au mjinga. Watu wajifunze kujadili hoja na sio kujadili watu
 

Umechemka mkuu ili suala haliepukiki, afya , miundombinu ,elimu hautavifanyia mbinguni,...ni apa tanzania ndani ya serikali moja, mbili, tatu au nne...wahsauri vijana wenzio tuache yooooooote kwanza tukubaliane tunatawaliwaje. Baada ya apo ndo tujue je utawala ndani ya muundo wowote tutakaokubali unaimarishaje elimu, afya , miundo mbinu!!! Tutendee haki fikra na elimu zetu!!
 
Ndoa ikivurugika mnagawana mbao na kama kuna watoto mnaweka utaratibu wa custody.

Huyu January anapata wapi ujasiri wa kumkejeli Warioba? kati yake na Warioba nani anajua vema Muungano?
Shida ya mitoto iliyokulia kwenye kuamka na kula bila kujifikirisha , hakumsikia Warioba aliposema kuwa Waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili na sio nchi mbili? Hakuelewa hata hilo lilikuwa na maana gani? He is completely lost ......naona anajipa I eti watatu mia wingi wao kupitisha serikali mbili hakujua kuwa hawana 2/3 Bara na visiwani ? Au hesabu amefeli mpaka za kugawanya !
 
ZZK ni mtu wakutaka $ifa $a$a watu wameku$tukia kuwa wewe mwongo mkubwa tena wewe ndo mhafidhina wa kwanza katika wana$ia$a wote tz,endelea kuwadanganya wabembe,wabwali na baadhi ya waha,$i$i kwetu nyooooo!!kamwe!
 
January atuambie nani ni mke na nani ni mume na ndoa ilikuwa lini?
 
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.

Ee Mwenyezi Mungu tusaidie. Hivi hawa vijana wenzetu wa Taifa la Tanzania waliopewa dhamana wamelishwa nini hadi kuvurugwa kiasi hiki? January Makamba analinaganisha mfumo wa utawala wa nchi na ndoa? Halafu huyo huyo anataka 2015 tumwamini kumpa uongozi mkubwa wa nchi huku akwa hajtmbui kiasihicho? Nadhani kuna laana inayopita katika Taifa hili kwa sasa ambayo inahitaji mombei makubwa kuivunja. Laana hii inatokana na Wanasiasa kuamini ushirikina kiasi kwamba ushauri wa kitalaam kama wa Tume ya Warioba hauzingatiwi bali wanazingatia ushauri wa Wanajimu wao. Wazee kama akina Warioba kwa huruma ya Mwenyezi Mungu wanastahili kuongezewa miaka mingi katika maisha yao hadi hapo vijana watakapojitambua. Facts za Warioba na ushahidi wote wa upuuzi ambao Halmashauri Kuu ya Chama tawala walioufanya wa kuiruhusu Zanziba kuvunja Katiba ya Muungano bila kuwakemea bado wanakuja watu na makelele ya mfano wa ndoa. Shame on you January Makamba.
 
Baba hana akili nilijua mtoto atakuwa na akili kumbe mbulula.sindiyo mtoto alisema watz wengi wana line nyingi za mitandao ya simu.kuliko matundu ya choo ya nchi nzima.!

mtoto nyoka ni nyoka mkuu hawezi kuwa mjusi.
 
Like father like son!!! Hana point kichwani. Kwanza atupe cheti chake cha secondary wakati alifeli!!!! Alienda fanya reseat wapi? Mburura tu huyu. Eti unaorodhesha matatizo ya mke halafu unataka uongeze mwingine!! Shit. Hivi anafikiri masuala sensitive ya Muungano analinganisha na mambo ya kitandani!!! Mswahili bwana. Watu tunapasua vichwa kuona ni jinsi gani harmony itapatikana halafu mnaleta mzaha hapa. Kichwa cha mwendawazimu.
 
Du!! Kumbe kuna mke na mume ktk maswala ya mungano?? Basi kama ndiyo hivyo ndoa imekuwa na mgogoro kupendekeza kuwa na serikali tatu ni sawa na kwenda kwa Baba paroko kusuluhisha....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…