‘U-Tanganyika’ na ‘U-Zanzibari’ ni itakadi inayochipua kwa kasi

Hakuna nchi inaitwa Tanganyika, kun a Zanzibar na Tanzania.

Tujikite hapo, hakuna Tanganyika, kwahiyo yule mbunge wetu yupo sahihi, sema tu msitake kujua jimbo lake lina watu wangapi na amechaguliwa kwa kura ngapi maana usijekuta hata diwani huko Idodi wa mtaa ana kura nyingi kuliko yeye.
 
Mie huku mamtoni uwa najichanganya na wanyarwanda, warundi, wakenya na hata waganda ila hawa wenzetu wazanzibar uwa siwezi kabisa maana ni wanafiki sana. Kwanza wanajifanya hawanywi pombe lakini ukikutana nao kwa ma shopping mall wananunua pombe sasa sijui wanamlaghai nani. Hawa jamaa tupo nao kushoto sana hili kosa kubwa la kiufundi la baba wa taifa. Kingine jamaa ni wabaguzi sana jitu leusi kama mkaa halafu eti bado linajiona ni liarabu, na ndoa zao hazidumu zipo kinafiki nafiki tu. Huu muungano ufe tu kila nchi ipige lapa wakakinge bakuli kwa hao wanaodai ndugu zao Oman.
 
Waunguja ni kati ya jamii za ovyo
 
Mwisho wake ni kuingia kwenye mambo ya IMANI, watz hatuwezi kubalansi IMANI na ukweli wa Hali zetu na huko ndio uhatari wenyewe na nchi zote majirani watafurahi Sisi kufikia huko.
 
Inapandwa na wanaharakati na chadema,pumbavvu sana hizo mbegu,ni laana kwa taifa
 
Hata Nyerere, Mkapa, Mwinyi waliyafanya yote hayo huku Zanzibar na mlikaa mkaona ni sawa tu
Una akili timamu, au ulibondwa bichwa uvalie baraghashia?

Nyerere, Mkapa na Mwinyi walikuwa wakoloni wa Zanzibar.

Leo yupo Mzanzibar kamili, avunje huo Muungamo, mbaki huru.

Mnataka bahati gani tena?
 
Inapandwa na wanaharakati na chadema,pumbavvu sana hizo mbegu,ni laana kwa taifa
Chadema ndo waliuwa Watanganyika ?
Chadema ndo wanataka Watanganyika ?
Chadema ndo waliunda tume ya kitapeli ya Chande?
Chadema ndo waliomteka Mtanganyika Polepole?
Chadema ndo walimvamia Mtanganyika Padre Kitima?
Chadema ndo waliuza Ngorongoro ya Tanganyika?
 
Una akili timamu, au ulibondwa bichwa uvalie baraghashia?

Nyerere, Mkapa na Mwinyi walikuwa wakoloni wa Zanzibar.

Leo yupo Mzanzibar kamili, avunje huo Muungamo, mbaki huru.

Mnataka bahati gani tena?
Ndiyo wote ni wakoloni , Tena afadhali ya mkoloni mzungu kuliko huyu muafrika. Muungano haukai hivi ulivyo . Msikilize Lissu anavyouchambua Muungano



View: https://youtu.be/kvN0jG_1QJc?si=t0csDZqltzO2757A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…