‘U-Tanganyika’ na ‘U-Zanzibari’ ni itakadi inayochipua kwa kasi

Binafsi sioni miaka 10 Mbele tukiwa na huu muungano
Najaribu ku-imagine haya maneno uliyoyaandika hapa na hiyo picha yako ilivyo hapo alafu uwe unayatamka na namna hivyo ulivyo hapo pichani… ni vichekesho vitupu 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾

Pole saana!
 
Sasa hapo ndugu El-mincho wewe sababu yako kuu ya kutaka muungano ufe ni kwa sababu jamaa ni wanafiki na ndoa zao hazidumu basi au kitu kingine?! 😀😀😀
 
Sasa hapo ndugu El-mincho wewe sababu yako kuu ya kutaka muungano ufe ni kwa sababu jamaa ni wanafiki na ndoa zao hazidumu basi au kitu kingine?! 😀😀😀
Unafiki wao ni kujifanya wakiwa bara ni watanzania, wakati huku nje ya nchi hawataki kabisa utanzania wanajiita wazanzibar.Kingine , wabara wakienda huko kwao kisiwani hatuna haki ya vitu vingi ardhi na hata kupewa uongozi lakini wao bara wanafungua ma biashara, ardhi wananunua na uongozi wanapewa, sasa muungano gani huu mkuu.
 
we acha TU mdomo Bado haujakaa sawa nyuki sio wakuchezea wale wadudu
 
Na hii jamiiforums yetu mtuachie watanganyika , fungueni mtandao wenu.
 
Mafisiemu hayajielewi.
 
Muungano wa ******* sana.
 
unaongea ukweli ila kuuvunja muungano ni shughuli pevu, watu wameapa kuulinda na kuutetea, jichanganye kuuvunja uone cha moto
 
unaongea ukweli ila kuuvunja muungano ni shughuli pevu, watu wameapa kuulinda na kuutetea, jichanganye kuuvunja uone cha moto
Walioapa ni kikundi kidogo cha mafia . Ikiwa una mawazo ya kumwogopa binadamu mwenzako kiasi hicho , wacha CCM ikuchune ngozi Kama alivyosema Lissu
 
Walioapa ni kikundi kidogo cha mafia . Ikiwa una mawazo ya kumwogopa binadamu mwenzako kiasi hicho , wacha CCM ikuchune ngozi Kama alivyosema Lissu
Hicho kikundi kidogo kina nguvu za hatari, wewe kula ugali wako ukalale tu hayo mengine yatakuharibia maisha yako, wengi wameshapotea na wengine wanamalizia uhai wao magerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…