Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Nyerere aliijenga nchi vizuri sana isipokuwa kuna baadhi wanataka kuhalibu hasa wanaokomalia muungano uvunjwe.Ndivyo alivyoijenga baba au babu yenu Nyerere
Nyerere alikuwa hana makosa alitaka kuimarisha ulinzi wa mipaka zaidi, ukizingatia zanzibar ni visiwa kwahyo adui angepata mwanya zaidi wa kupita huko viziwani..Babu Nyerere alikuwa Genius sana na mwenye upeo wa kuona mbali kwa maana nyingine (Jicho la tatu).mfano kuna maneno aliyatamka mpaka leo yanaishi "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" Sikilizeni wananchi wanataka nini mkipuuza maoni ya wananchi"... wewe unaona Tz ilivokubwa? unadhani kuwahi eneo lote hyo ni rahsi..Huyu asilaumiwe kwanza acha kabisa kumtaja kwa mabaya.Katika kosa kubwa alilofanya baba wa taifa ni hili la muungano na hawa kenge wa unguja, sijui kwanini hakuwaza kutuunga na Rwanda/Burundi ambao tulikua tuko nao enzi ya mkoloni mjerumani. Wabunge watanganyika wengi inaonesha wapo upande wa watanganyika wenzao .
Nyerere kajenga nchi hii iliyojaa wezi na watekaji haya ndiyo matunda ya mti wake alioupandaNyerere aliijenga nchi vizuri sana isipokuwa kuna baadhi wanataka kuhalibu hasa wanaokomalia muungano uvunjwe.
Nguvu hizo Za hatari labda uliwapa wewe . Maisha yetu yaharibiwe vipi tena ? Mtu mlo mmoja kuupata imekuwa kuliko jini na ni mbinde kuupata na Mafia wanakula kwa urefu wa kamba zao , Wanawaona watu Kama nyinyi mabwege, mafala na mijoga. Wacha CCM ikuchune ngoziHicho kikundi kidogo kina nguvu za hatari, wewe kula ugali wako ukalale tu hayo mengine yatakuharibia maisha yako, wengi wameshapotea na wengine wanamalizia uhai wao magerezani.
Mbona ilikuwepo Zanzinet zamani sana kabla Jamii forum au hujui?Na hii jamiiforums yetu mtuachie watanganyika , fungueni mtandao wenu.
Jakaya ni Mzanzimbar? Tunawalaumu bure wa ZanzimbarWazanzibar ni wanafiki kichizi huku mtaani tunawaona na upumbavu wao ..... muungano wa kijinga huu
Mbona kitambo tu hatuutaki muungano wa nini?. Hiyo Uzanzibar na Utanganyika lazima itawanyike Tanzania nzima ili ifanikiwe kuvunja hiki kidude muunganoKama tunataka kudumisha Muungano, Tuache ile identity ya Uzanzibar na Utanganyika. Hasa huu uzanzibar
Nyerere aliijenga nchi vizuri sana isipokuwa kuna baadhi wanataka kuhalibu hasa wanaokomalia muungano uvunjwe.
Kweli! Lakini kwa sasa haiwezekani maana wao ndio wameshika mpini. Mkileta fyoko mnakula shaba mchana kweupeeee.Tuwape taraka tu wameanza kuwa na kiburi.
Nendeni sasa huko zanzinet humu jamiiforums hatuwahitaji.Mbona ilikuwepo Zanzinet zamani sana kabla Jamii forum au hujui?
Kwahio huo mpaka upande wa bahari huku kwingine tunakopakana na nchi zaidi 5 hakuna huo mwanya wa kupita?? Nakubali mzee Nyerere alikua genius ila hili kosa la kutuunganisha na Zanzibar alibugi tusidanganyane kila mtu analiona. Wazanzibar wao kwetu wajitanue na madaraka wakati sie kwao hata ardhi haturuhusiwi kununua only mafisadi kama mzee wetu yule mstaafu ndio wanunue kule. Hapana, huu muungano ni fake sana, halafu hawa jamaa tuko nao kushoto sana basi tu tunalazimishana hivyo hivyo tu. Ila kwa unafiki hawa jamaa wa visiwani ni jadi yao, Kuna yule dada mtoto wa mstaafu rais wa Zanzibar Fatma, kipindi cha Magufuli alikua anatukana kweli kweli na watu walimuona mpinzani wa kweli. Sasa rais wa kwao yupo kimyaaa kama sio unafiki ni nini??Nae yule sijui Mwalimu ni hivyo hivyo tu.Nyerere alikuwa hana makosa alitaka kuimarisha ulinzi wa mipaka zaidi, ukizingatia zanzibar ni visiwa kwahyo adui angepata mwanya zaidi wa kupita huko viziwani..Babu Nyerere alikuwa Genius sana na mwenye upeo wa kuona mbali kwa maana nyingine (Jicho la tatu).mfano kuna maneno aliyatamka mpaka leo yanaishi "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" Sikilizeni wananchi wanataka nini mkipuuza maoni ya wananchi"... wewe unaona Tz ilivokubwa? unadhani kuwahi eneo lote hyo ni rahsi..Huyu asilaumiwe kwanza acha kabisa kumtaja kwa mabaya.
Nendeni sasa huko zanzinet humu jamiiforums hatuwahitaji.
Nyerere alipanda mti mzuri waliotunza baadhi waliufanyia biding kwahyo asilaumiwe.Nyerere kajenga nchi hii iliyojaa wezi na watekaji haya ndiyo matunda ya mti wake alioupanda
hapo inabidi kuwa wapole tu haina namna, mda utasema wenyeweKweli! Lakini kwa sasa haiwezekani maana wao ndio wameshika mpini. Mkileta fyoko mnakula shaba mchana kweupeeee.
Wazanzibar wengi ni wabinafsi na wafia dini..Nyerere hakuwafundisha hvo hayo ni matamanio yao na matakwa yao..Nyerere alisisitizo umoja na mshikamano.Kwahio huo mpaka upande wa bahari huku kwingine tunakopakana na nchi zaidi 5 hakuna huo mwanya wa kupita?? Nakubali mzee Nyerere alikua genius ila hili kosa la kutuunganisha na Zanzibar alibugi tusidanganyane kila mtu analiona. Wazanzibar wao kwetu wajitanue na madaraka wakati sie kwao hata ardhi haturuhusiwi kununua only mafisadi kama mzee wetu yule mstaafu ndio wanunue kule. Hapana, huu muungano ni fake sana, halafu hawa jamaa tuko nao kushoto sana basi tu tunalazimishana hivyo hivyo tu. Ila kwa unafiki hawa jamaa wa visiwani ni jadi yao, Kuna yule dada mtoto wa mstaafu rais wa Zanzibar Fatma, kipindi cha Magufuli alikua anatukana kweli kweli na watu walimuona mpinzani wa kweli. Sasa rais wa kwao yupo kimyaaa kama sio unafiki ni nini??Nae yule sijui Mwalimu ni hivyo hivyo tu.
?
Alipanda mti mzuri kwa kulea mafisadi , kwa kuwabadilisha wizara wakaibe zaidi?Nyerere alipanda mti mzuri waliotunza baadhi waliufanyia biding kwahyo asilaumiwe.
bado mtoto mdogo wewe hujajua ulinzi ulivo.Kwahio huo mpaka upande wa bahari huku kwingine tunakopakana na nchi zaidi 5 hakuna huo mwanya wa kupita?? Nakubali mzee Nyerere alikua genius ila hili kosa la kutuunganisha na Zanzibar alibugi tusidanganyane kila mtu analiona. Wazanzibar wao kwetu wajitanue na madaraka wakati sie kwao hata ardhi haturuhusiwi kununua only mafisadi kama mzee wetu yule mstaafu ndio wanunue kule. Hapana, huu muungano ni fake sana, halafu hawa jamaa tuko nao kushoto sana basi tu tunalazimishana hivyo hivyo tu. Ila kwa unafiki hawa jamaa wa visiwani ni jadi yao, Kuna yule dada mtoto wa mstaafu rais wa Zanzibar Fatma, kipindi cha Magufuli alikua anatukana kweli kweli na watu walimuona mpinzani wa kweli. Sasa rais wa kwao yupo kimyaaa kama sio unafiki ni nini??Nae yule sijui Mwalimu ni hivyo hivyo tu.