DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wacha kwanza Mh GWAJIMA aende na hili la WANAWAKE kubakwa mbele za wazazi wao coco Beach na Kawe na Kigamboni pale mikadi.
Serikali impatie Mh Gwajima fedha za ku-monitor beaches zote.
bunge litunge sheria kali maana sasa hawa watu wamezidi.
Mnapoteza muda wenu hamtofanikiwa.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]chief kulikuw na ulazima wa kutaja bwawa letu la Mindu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ, ALAFU KWENYE MAJI MACHINE KULALA( KUMWAGA) HUWA INACHELEWA BALAAAAA
 
Mnapoteza muda wenu hamtofanikiwa.
Mh Dr Gwajima hakika atatutoa hapa, na kwa hili atakuwa na ujasiri wa kusimama jimbo lolote, iwe Dar au Mkosni na kujivunia alivyo okoa watoto wa kike kwenye ubakaji:
Gwajima tusaidiane kumaliza hii kitu.
 
Inawezekana ubakaji upo lakini kwa tukio hilo jinsi binti alivyokuwa akitoa ushirikiano ni dhahiri zoezi lilifanyika kwa hiari.
 
Msikilize huyu binti!

Your browser is not able to display this video.
 
Asante Muheshimiwa Waziri Nadhani wahusika wa unyanyasaji na waathirika wote waliofanyiwa hivyo na wenye Ushahidi watakutafuta ila ningependa pia usiri wa taarifa za mtoaji pia uzingatiwe
 
GENTAMYCINE ulisema unaushahidi wote haya muheshimiwa waziri anaomba umtumie
Ushahidi ninao ( tena baadhi yao ni Marafiki zangu ) na kwanini NIMEKASIRIKA na sasa naunga mkono Vitendo vya hawa Beach Boys ni kwamba mwaka huu huu niliandika Uzi hapa KUTAHADHARISHA hili na KUFAFANUA kiundani ili hatua zichukuliwe ila NIKAPUUZWA na sikumuona huyu Waziri wenu Dkt. Gwajima D akija hata Kuuchagia tu huo Uzi na Kunipongeza halafu leo anajifanya Kuguswa nalo na Kujitokeza.
 
Imagine mshkaji kashawafanyia mabinti wangapi kabla ya uyo
Kaka, kwa siku si chini ya wanne , tena wengi wanafunzi ambao wanatoroka shule wanakwenda beach na uniforms., wanakodisha chupi za kuogea kwa hao hao ma beach boy na kufundishwa kuoga, waki ingizwa majini ndipo wanawaambia wafanye na hawatatozwa hela.

Wanafunzi.
Weekend ndio watoto wa majumbani na wanafunzi wa vyuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…