DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Acheni Wabanduliwe.
 
Haya mambo hayajaanza leo kumbuka...
Na kila siku sio kama wanaofanyiwa hiki kitu ni watu ambao wageni na hiyo beach...
 
Achana na huyu maana anaongea kama zile video za kutafuta views YouTube.
Ila kiukweli kuna namna Tanzania tunachukulia sexual abuse kama kitu cha kawaida hadi pale inapomkuta mtu wako wa karibu.

Ukifuatilia comments za humu ndio utaelewa
Bado sana. Mpaka siku binti au dada anakumbwa na masaibu haya ndiyo mtu unashtuka. Mfumo dume bado unatawala japo nimeona hata baadhi ya wanawake wenyewe wanaunga mkono. Badooo!
 
Mkuu pia inaonekana wewe bado mgeni mitaa hiyo...
Beach kuna madem weng sana wanajiuza...unamchukua unaoga nae unapiga bao, unamlipa mlivyokubaliana....

Mimi ambacho ningekuunga mkono ni kukataza wanafunzi kwenda beach..lakn sasa utawajuaje?
 
Dkt. Gwajima D Tafuta kazi nyingine ya kufanya achana na hao malaya wa hapo coco beach.
Haiwezekan huo ukawa ubakaji hata kidogo.
Hbr za mchana. Kazi yangu mojawapo ya kwanza kabisa ni kuifungua jamii macho kwa elimu ya tahadhari KUEPUKA mambo yanayoweza kuhatarisha maendeleo na ustawi wao. Kama kazi zingine tu za sekta zingine kwamba, elimu kwa jamii ni muhimu Ili KUEPUKA tatizo. Kazi ya jamii katika hatua za awali ni kusikia na kuchukua hatua. Huenda wengi hata hawaelewi kabisa. Hakuna anayebarikiwa kwa taarifa aina hizi za kudhalilisha Jinsia halafu akae kimya bila neno.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pia inaonekana wewe bado mgeni mitaa hiyo...
Beach kuna madem weng sana wanajiuza...unamchukua unaoga nae unapiga bao, unamlipa mlivyokubaliana....

Mimi ambacho ningekuunga mkono ni kukataza wanafunzi kwenda beach..lakn sasa utawajuaje?
Wanafunzi wawe na walimu na beach boy[wauza unga] wasisogelee.
zira zote za wanfunzi awepo polisji jamii aliyevaa kiraia.
 
Kuna watu wanachukulia mzaha hii ishu, Kuna beach boy kahukumiwa kifungo cha maisha sababu hiyo hiyo iwe wamekubaliana au kabaka ni jela.

Serikal kupitia dkt Gwajima kama watakua serious kweli basi ngono zitakoma hapo coco.
 
Tena Waziri Dkt. Gwajima D ukitaka Kulimaliza hili ukinitumia tu Mimi ( ambao nawajua hadi Mbinu zao zote ) hasa kwa Beach za Kawe na Coco ( ambako kote huko ni Makazi yangu ) naweza ( tena hata bila ya kuwatumia hao sijui wana Usalama au Kuwawinda ila kwa Kuniudhi Kwenu kama Mamlaka ( Serikali yako ) pale GENTAMYCINE nilipokuja na Uzi hapa JamiiForums Kulitahadharisha hili hata mniahidi Mamilioni nishirikiane nanyi sitochukua kwani Mlinikera sana.

Na hili liwe Fundisho Kwenu kuwa acheni Dharau kwa Members wa JamiiForums ambao huwa tunawaandikieni hapa Mambo very Sensitive ili muyafanyie Kazi haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…