DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii itakua poa sana.
Ukisema mambo ya usalama
Uswazi kule watu wanastukia mapema mnoo yaaani mapema
 
Hbr za mchana.

Unanilaumu uki assume niliona? Lini kwanza? Naomba unipe ushirikiano basi hata kwa hatua hii. Ya jana tuipe jana na ya Leo tuipe Leo. Haya ndiyo maendeleo. Ahsante Sana. Vema tukichati kwenye namba hii 0765345777 tupange nishirikishe sekta husika tukae tuone la kufanya. Haya ndiyo maendeleo ambayo mm nayaamini.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Bila ridhaa hapana, tofautisha kubakwa na ku kusudia.
Hebu tuwe na huruma na hawa watoto wetu.
Sasa mbona wenyewe hawasemi, wapo kimyaa. Unadhani hawajui?
Hili ni suala la siku nyingi, linajulikana vizuri tu..
 
@GENTAMYCINE kimbia huku, njoo usaidie serikali
 
Mungu akuweke aise,
 
Asante sana waziri kwa kuja kwa wakati. Na kutoa muongozo nini cha kufanya. Huo ndio uwajibikaji. Binafsi nikushukuru
 
@GENTAMYCINE kimbia huku, njoo usaidie serikali
Mwambie aje jamani mbiombio, umoja na ushirikiano na mshikamano ni chachu kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. JamiiYetuFahariYetu [emoji1241]

Unyanyasaji wa kijinsia haukubaliki na dawa mojawapo ni elimisha Kila mmoja achukue tahadhari ya kwanza kwa yanayozuilika, kisha hatua zaidi.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Waziri Dkt. Gwajima D bhana kabisa GENTAMYCINE nichati nawe kwa Namba yako hii uliyonipa hapa ili uwarahishie Kazi wale Wanaonitafuta Kutwa kwa kuwa Mkosoaji tukuka wa Boss wako hapa JamiiForums?

Wala sithubutu Dada na utanisamehe kwa hilo. Na najua nikikupa tu Ushirikiano wangu upesi sana utanijua na najua hata Watu wa Mfumo Oysterbay St. Peters watajua wapi kwa kuanzia nami.

Labda omba tu kwa Mwenyezi Mungu kuwa Mizimu yangu ya Hasira zangu za Kizanaki na Kiyao zikitulia baada ya Kukwazika na Kunipuuza Kwenu nilipotahadharisha katika ule Uzi wangu nitakupa Ushirikiano wangu mkubwa tena hapa hapa JamiiForums ila kwa leo niache Kwanza.

Tena nina Mbinu zangu kadhaa za Kulimaliza hilo tatizo na najua utanipa Tuzo Mwenyewe ila Jazba zangu Tukuka zikipoa tu nitakutafuta hapa hapa JamiiForums na kukupa zote. Cha msingi hakikisha uwe hubanduki 24/7 hapa JamiiForums na ikiwezekana anza Kunifolo pia kama anavyonifolo pia na Boss wako Ziarani Kaunda Nation.
 
Hivi watu huwa mnawezaje kuona mtu anafanyiwa uhalifu kama huo na mkakaa kimya mkatulia kabisa? Yaan kumbe ndo maana watu wazima mnajifungia ndani kuogopa vijana wenye miaka 11 walioshika mapanga mnawaita panya rodi, uhalifu huwa unakomaa kwa kuchekea mambo ya kipuuzi kama haya, watu hamuwezi kabisa kushirikiana kutokomeza mambo haya?

Ila Hawa dada zetu nao sometimes ni tatizo mimi huko cocobeach huwa siendi lakini najua wanawake wanabakwa na hao Beach Boys kwa mbinu hizohizo sasa mwanamke anaeenda inamaana kweli huwa hana taarifa kuwa huwa wenzake wanafanyiwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…