Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Hivi mashambulizi kama haya wanatuma kombora wakiwa israel au zinaenda ndege hukohuko syria T14 Armata
Israel haipendi kutumia cruise missiles sababu ina air dominance hapo Syria, hakuna air defense system ya kuzuia Israel isirushe ndege zake. Hata hao makamanda wa Iran wanajua kabisa Israel hufanya mashambulizi ya anga na lazima walichukua tahadhari kama kuiambia Syria iongeze nguvu kwenye ulinzi wa anga pamoja na kwamba walikuja kwa siri.

Hapa Israel haikuwa na haja kutumia JDAM kits za Marekani, Israel wenyewe wanazo smart munitions za kutegemewa zaidi kuliko kutegemea MK bombs za zamani za Marekani zilizofungwa kits.
Probably Israel watakuwa walitumia fighter jets za kawaida ila zenye guided bombs hasa SPICE family kutoka Rafael Defense. Mfano bomu la Spice 250 ER linaenda mpaka kilomita 100 na linaweza piga shabaha ndani ya mita 3 zilizohitajika, ukilenga sebule ukakosakosa utapata dinning room ni yaleyale tu sababu bomu lina blast radius kubwa nyumba nzima itabomoka

Hata hivyo Israel inayo option ya kupiga Damascus ikiwa ndani ya mipaka yake ila haifanyi hivyo ili kuwa more accurate na kuepuka collateral damage. Na hakuna ulazima sababu Syria haina uwezo kuzuia shambulizi la Israel. Na ikibidi sana, F-35 stealth fighters zitatumika kuingia anga la Syria bila bugudha.
 

Attachments

  • 1000324395.jpg
    266.4 KB · Views: 1
Sasa israeli nae amekosa pa kushambulia mpaka aende ubalozini? Akijibiwa atulie asipige kelele maana muajemi huwa hapitishi saa 24 bila kujibu mapigo
Iran maofisa wake watatu wameuwawa, imeripoti watu saba wamefariki sijui idadi itaongezeka.

Marekani iko into consideration kuiuzia Israel F-15 nyingine 50, na mabomu idadi kadhaa. Wiki jana ilipitisha kuuza F-35 na mabomu.

Israel bunge lake limeipiga marufuku Aljazeera rasmi.

Usiku huu kuna suicide drones zinarushwa kuelekea Israel na hayo makundi kulipiza kisasi.

Kule Jordan kuna Hamas sympathizers wanaandamana siku nyingi.

Iran imesema italipiza kisasi (kawaida yake kusema hivi).

Wacha inyeshe hapo Middle East tujue panapovuja
 
Kisasi cha Iran kinajulikana. Tayari wameshatoa notes UN kuwa wana haki ya kulipa kisasi. Tusubiri ndani ya saa 24 tutapata majibu yake huwa Iran hawachelewi sana kujibu
 
Bongo
 
Kwanini USA imvamie?! Kwasasa Marekani inapeleka nguvu zake nyingi Asia Pacific ili kumdhibiti mchina, middle East hana mpango nako kivile kama ilivyokua zamani. Hata ukiangalia alliances anazoziunda hivi karibuni zimebase kuicontain China.
Anamzuia mchina kwenye nini ?
 
Wee jamaa unaongea vitu vya kijinga as if Israel ni taifa kubwa kuliko yote duniani
 
Kama kamanda alifanya ubaloz ndio comanding centre yake unapiga mpaka aliyepo ICU. Kama alivyofanya pale Al shifaa.
Acha ujinga wewe huwezi shambulia ubalozi kama unajitambua unaweza zalisha vita visivyo vya lazima unless uwe mwendawazimu.
 
Ndio watu wanavitaka chief
Hapo tu anapambana na kajikundi kasicho jitosheleza kwa silaha wala chakula Hamas shughuli nyingi za uchumi kupitia bandari zimelala na uchumi kuporomoka.

Huyo Israel mpaka mafuta na bidhaa nyingi anauziwa ndio atake kupigana vita na Iran kwa asilimia vitu vingi vya toka ndani mwake.

Unafikiri vita ni mchezo wa kuigiza ? Atulie apambane na Hamas apate mateka wake anaotafuta hadi leo kwenye kaeneo size ya ka wilaya huko Iran sio league yake nchi yake itafirisika kwa kila kitu
 
Sasa mbona kila siku IDF wanawaua makamanda wa Republican guard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…