Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Wabalichistan wanatumika kwa kuwa wanataka kujitenga na wapo pande zote mbili, Iran asingekua mwamba USA angekua kishamvamia kitambo,maana Israel kishashawishi Sana USA aingie vitani na Iran,Iran anauza silaha Russia,huwezi mu-undermine
"Pakistan launches retaliatory strikes into Iran, killing nine people - BBC News" Pakistan launches retaliatory strikes into Iran - BBC News
Kwanini USA imvamie?! Kwasasa Marekani inapeleka nguvu zake nyingi Asia Pacific ili kumdhibiti mchina, middle East hana mpango nako kivile kama ilivyokua zamani. Hata ukiangalia alliances anazoziunda hivi karibuni zimebase kuicontain China.
 
Uliza wanajeshi wa USA waliopo Iraq baada ya kifo Cha Qussem Suleiman
Cheza na USA lakini sio Israel, Israel sio watu wale ni wanyama angalia hakuna mwarabu anayethubutu kuingia naye vitani.

Israel unapotishia amani yao hawajui wewe ni nani, haijalishi wewe ni USA, UK, Russia, China, Iran au takataka gani utakula kipigo tu na ndipo inapokubalika kwamba hakuna mbabe mbele ya Israel na hata UN ni shahidi kwa hilo.
 
Kwanini USA imvamie?! Kwasasa Marekani inapeleka nguvu zake nyingi Asia Pacific ili kumdhibiti mchina, middle East hana mpango nako kivile kama ilivyokua zamani. Hata ukiangalia alliances anazoziunda hivi karibuni zimebase kuicontain China.
Angepaachia Kama Hana issue napo,angeitosa Israel ambayo ni military base yake kule middle east
 
Diplomacy ya nini kwa magaidi, Israel haipigi vichochoroni inapiga ubalozini kwa jeuri kubwa kabisa ili usije sema ni bahati mbaya. Hapo haitoomba msamaha wala kudai yaishe, itatoa sababu za kufanya shambulizi hilo.

Iran ni babalao tunaomba ajibu, kisha ajibiwe tena. Au aanzishe vita kabisa ili mzizi wa fitna ukatwe. Sio kila siku mikwara na kutuma magaidi.
Israel iombe radhi kwa misingi ipi kwani kakili kuwa yeye ndo muhusika?
Saa nyingine utumiage akili ww rais wa wapiga nyeto.
 
Ushasahau Iran alivyotimua safe house ya Israel pakageuka kifusi..si ni juzi tu hapa,akapiga mpaka Pakistan huko,isitoshe Iran ndiyo trainer wa hizbullah na Hamas,mpaka Sasa washaitia Sana hasara Israel,mageneral wangapi wa Israel wameuawa Gaza na mashambulio ya hizbullah!?
Vipi na pakistan alivyojibu mapigo Iran aliendelea na utoto wake zaidi iran anachoweza ni kudhamini magaidi tu
 
Sasa israeli nae amekosa pa kushambulia mpaka aende ubalozini? Akijibiwa atulie asipige kelele maana muajemi huwa hapitishi saa 24 bila kujibu mapigo
 
Wanaua

Waliua kassim akaenda lipua ndege yake ya iran mwenyewe na kuua raia 250 iran kichaa
Hahaha iranian means business walifyeka top cia director iranian desk aliyetoa oda na kusimamia hit ya kassim soleiman tokea hapo hiyo desk ikafutwa wale ni jino kwa jino hit kwa hit huaa hawanaga kusamehe.
 
BREAKING: The Iranian consulate in Damascus has been "destroyed", according to the Syrian state news agency.

Further reports claim that a senior commander in the Iranian Revolutionary Guard Corps has been killed but the ambassador survived

Israeli imeshafanya yake
Mppaka wapenye wakaafaanye yao huko ndani basi mipaka ya nchi iko uchi wa mnyama
 
Kwahiyo bwana kubanduliwa unataka kusema Iran imemlipua kamanda wake
Ww umesema Israel haitaomba msamaha sasa itaombaje msamaha kwa kitu ambacho hajakili kukifanya?
 
Netanyahu ajiandae kufanyiwa ile oparesheni yake ya ngiri kwa panga
 
Back
Top Bottom